Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

Culture is always good as long as it doesn't harm labda ukeketaji ndio Culture mbaya ila kubeba sime hatuachi mwanaume huwezi ukatembea huna silaha huku unajiamini.
Niko nyanda za juu kusini kwa sasa from my observation huku maisha ya mtu mmoja mmoja yana unafuu kupita sehem nyingi za Tanzania. Maeneo mengi ni agrarian ( hamna viwanda/mara nyingi viwanda hugusa baadhi tu ya watu) kilimo huku cha uhakika mvua haigomi sana.
 
CCM wanawaadhibu wana Mbeya
 
Arusha kwenyewe watu Wana maisha magumu wanajifariji Kwa bange 😁😁

Uko Mkoa gani?
 
Nao ni wajinga kukomaa na siasa zisizo na Tija kwao.

Wanawaiga Arusha wanasahau kwamba Arusha ni kitovi Cha Utalii na diplomasia so lazima tuu maendeleo Serikali ipeleke.
Mbeya upinzani ndio asili Γ½ao, ni mkoa mgumu tangu zama za Nyerere. Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, upinzani ulichukua jimbo la Mbeya Mjini. Polisya Sikumbula Mwaisyeje alibeba jimbo
 
Arusha kwenyewe watu Wana maisha magumu wanajifariji Kwa bange 😁😁

Uko Mkoa gani?
Nao ni wajinga kukomaa na siasa zisizo na Tija kwao.

Wanawaiga Arusha wanasahau kwamba Arusha ni kitovi Cha Utalii na diplomasia so lazima tuu maendeleo Serikali ipeleke.
Mikoa ambayo ccm imetamalaki ndio inaongoza kwa umaskini na ujinga

Tabora
Singida
Shinyanga
Dodoma etc
Never blame upinzani unaleta muamko na sehem zenye upinzani ndio zina unafuu wa Miasha over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…