Kwanini Mbeya ndiyo mkoa unaongoza kuwa na wajane wengi? Wanaua waume zao

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Mkoani Mbeya leo linafanyika kongamano la wajane linalolenga kuwaunganisha na fursa za kiuchumi baada ya kuondokewa na waume zao, ili kuwaepusha na manyanyaso ya kifamilia.

Je, hatua hii itasaidia kuboresha maisha ya wajane na kuondoa changamoto wanazokumbana nazo? Tuandikie maoni yako
 
KWANINI HALIFANYIKI KABLA YA WAO KUONDOKEWA NA WAUME ZAO? MMMH
 
Hizi habari hizi bhana!
 
Nataka mnitajie mkoa usio na wajane
 
Kuna mzee aliwai nionya kuja kuoa mwanamke wa Mbeya, hakunambia kwanini. Au pengine sababu ndo hii!?
 
Hujafika au kukaa mkoa wa Kilimanjaro wewe.
 
KWANINI HALIFANYIKI KABLA YA WAO KUONDOKEWA NA WAUME ZAO? MMMH
Kongamano la wajane lifanyike kabla ya waume zao kufa?
Yaani kongamano lifanyike kwa wale wanaojuwa kwamba waume zao wamekaribia kufa au Una Manisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…