Haha unaweza kusema ni mtu mmojaExactly!
Sijui ni kwa nini tena siyo mbilikimo pekee bali kuna albino wengi wao wanafanana
Pia wasomali, wahabeshi, wachina, nk kwa ujumla watu wote tofauti na watu weusi) nao wananichanganyaga sana kwa kufanana kwao
Mtafute tausi,yuko singleNahitaji demu mbilikimo
🤣 🤣 🤣Na vibogoyo wengi wanafanana
Nenda kwa Tausi muigizaji.Nahitaji demu mbilikimo