Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... unaowaita mbilikimo, sio wale halisi wa Congo, ni walemavu ambao kwa mapungufu fulani ya kijenetiki wamekuwa wafupi, wenye vidole vifupi, macho makubwa na maumbile mengi yasiyo ya kawaida yanayowafanya wafanane! ... ukichunguza kwa karibu bado unaweza kuona tofauti zao!Habari wakuu naomb kujuzwa kuhusu hili jambo kwa wenye ujuzi wa masuala haya ya genetics ....(lengo kujuzwa sio ubaguzi kama Kuna jina lingine sahihi zaidi nilipaswa nitumie mtanisamehe)
Kwanini hawa jamaa wanafanana sana hasa wa kiume ?
Nishapishana nao kama Sita hivi maeneo tofauti ajabu wanafanana fanana sana.......wajuzi
NB: ... samahani kama kuna mtu nimemkwaza, ninatoa tu nilichosoma!