Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Zipi zilizotumika na zipi hazikutumika katika evolution?
Bora umefuta aisee comment yako, maana nilitaka nisiendelee tena kujadiliana na wewe mzee. Uwe unasoma kwanza uelewe kisha ndiyo hoji.
 
Kama waliruka 2 na 4 hao watu wa evolution walifahamuje viumbe mbali mbali vinafanana?

Walifanyaje analysis bila data?

Walifanya conclusion ya nini?

Kama 6 haipo wewe ulifahamu vipi theory ya evolution?

Umesoma Biology angalau ya O level katika nchi hii?
Zimetumika 1,3 na 5 wakarukia kwenye "Conclusion".
 
Kama waliruka 2 na 4 hao watu wa evolution walifahamuje viumbe mbali mbali vinafanana?

Kama 6 haipo wewe ulifahamu vipi theory ya evolution?
Unaelewa nini ukiambiwa uhalisia ? Wewe unakubali kwamba walifanya tafiti gani mpaka wakafikia hitimisho la kuwa binadamu alikuwa nyani ? Ndiyo maana katika ufahamu wao una makosa mengi juu ya hao viumbe, sababu waliruka vipengele hivyo.

Nimesoma vitabuni na kusikia kwa watu.
 
Hujawahi kusoma utafiti wowote unaohusu evolution ?

Unaweza kutaja makosa mawili yanayohusu huo ufahamu wao juu ya viumbe hao?

Theory gani ya kisayansi iliyo sahihi kuhusu uwepo wa binadamu kama aonekanavyo duniani?
 
Unaweza kutaja makosa mawili yanayohusu huo ufahamu wao juu ya viumbe hao?
Sio makosa mawili tu, bali "Evolution" yote ni makosa matupu.
Hujawahi kusoma utafiti wowote unaohusu evolution ?
Kulingana na hiki tunachokijadili swali linaonyesha maswali zaidi ya mawili, je una maanaisha tafiti za wana evolution kwa kuipa nguvu nadharia yao au wakosoaji au tafiti juu ya nadhari ya evolution ?
Theory gani ya kisayansi iliyo sahihi kuhusu uwepo wa binadamu kama aonekanavyo duniani?
Mpaka muda sijaiona ambayo iko sahihi, kama ipo niwekee hapa.
 
πŸ˜πŸ€”πŸ€”
 
nami nataka jua.
Umeridhika Na Michango Mbalimbali Iliyolewa Na Kunufaika Ama Bado, Naamini Michango Iko Sawa Sawa
Kwakuwa Thread Iko Wazi Tutaendelea Kulimishwa/Kuelimika Kila Wakati
 
daaaaaaah umenipa mwangaza
Shukran mkuu
 
πŸ˜πŸ˜ΆπŸ€”πŸ˜
 
Safi sana
 
Asante!
 
Jua kua mbilikimo hawapatikani Kongo pekee
Wanapatikana Cameroon,Zambia na central africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…