Hili hata akili iliyo salimika inalikataa. Ili kitu kipimwe uzito kinahitaji nini na nini ? Unawezaje kuujua uzito wa jua kiufasaha hali ya kuwa huwezi kulidiriki jua ?Katika ulimwengu wa hisabati unaweza kukokotoa mambo mengi tuu bila kujali uhalisia, mfano uzito wa jua unaweza kupimwa kwa ufasaha, japokuwa hakuna aliyewahi kufika huko.
Kuupuuza uhalisia ni kuukaribisha UONGO, na kuishi katika UONGO dahari kwa dahari.