technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
China na Japan wapoWapo wa jamii zote ulizotaja hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China na Japan wapoWapo wa jamii zote ulizotaja hapo.
Hapana, utapotosha wasomaji ukisema dwarf ni viumbe wa kufikirika, na huenda unadhani kuwa wale waliokuwa katika ile sinema ya vikatuni ya disney iliyojulikana kama Seven Dwarfs walikuwa ni viumbe wa kufikirika tu. Siyo kweli, dwarf ni watu wenye upungufu wa hormones za aina fulani zinazohusika na mwili kukua; kuna dwarfs wa aina kadhaa ingawa the most common in premodial dwarfs ambao hutokana na pituitary gland kutokufanya kazi vizuri.Mkubwa sorry naomba turekebishane kitu kimoja hapo juu
Pygmy ni mbiliko by nature amezaliwa hivyo ndio kama hao walioko huko drc
Ila Dwarf sio mbilikimo wa ugonjwa bali ni mbilikimo wa jamii za kimiujiza miujiza ama za kichwawi ndio kama goblin vile trool,elf,fairy nk ni hilo tu nilitaka tujuzane kidogo
Ni miaka mingi imepita tangu tuwe na mjadala huu; siyo kuwa "nawahangaisha" kama "mwalimu mjuaji", bali nilikuwa nilileta maelezo kutokana na topic niliyohawi kusoma vitabuni kwa kina kwa vile niliwahi kuishi na jirani dwarf. Maneno uliyotumia katika post yako niliyowekea rangi yanitumia ujumbe hasi kuhusu maelezo yangu hayo!Hapa tunaweza kuwa tunahangaishwa na mwalimu mjuaji. Tuishieni tu ku-like na kuuliza, kuhoji ama kukanusha tuacheni.
Maana kwa hili somo, huyu kisuguu ni lake.
Sababu nimeona tangu miaka hiyo ya nyuma topic hii ilipoanzishwa, hakuna aliyeweza kumkaribia kisuguu kwa umahiri wake wa kujieleza juu ya hili somo.
Big up mkuu kisuguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pa1 sana mkuu, sema mimi ndiye niliyeji-contridict kwenye matumizi ya neno 'mjuaji' nilimaanisha "mjuzi- mahiri".Ni miaka mingi imepita tangu tuwe na mjadala huu; siyo kuwa "nawahangaisha" kama "mwalimu mjuaji", bali nilikuwa nimeleta maelezo kutokana na topic niliyohai kusoma vitabuni. Sina uhakina na maneno uliyotumia katika post yako niliyokwoti na hivyo natanguliza samahani kama post yangu ni ya kijuaji na ya kuhangaisha watu tu. Nina imani kuna walioina ina manufaa!
AsantePa1 sana mkuu, sema mimi ndiye niliyeji-contridict kwenye matumizi ya neno 'mjuaji' nilimaanisha "mjuzi- mahiri".
Nililenga kukukweza hasa na nilivyofurahishwa na uwezo wako wa kudadavua. Niwie radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, utapotosha wasomaji ukisema dwarf ni viumbe wa kufikirika, na huenda unadhani kuwa wale waliokuwa katika ile sinema ya vikatuni ya disney iliyojulikana kama Seven Dwarfs walikuwa ni viumbe wa kufikirika tu. Siyo kweli, dwarf ni watu wenye upungufu wa hormones za aina fulani zinazohusika na mwili kukua; kuna dwarfs wa aina kadhaa ingawa the most common in premodial dwarfs ambao hutokana na pituitary gland kutokufanya kazi vizuri.
Dwarfs wa america wana chama chao kinaitwa Little People of America; na website yao iko hapa
Huyu jamaa hapa kwenye picha chini ni Ethan Crough wala siyo kiumbe wa kufikiria lakini ni dwarf, ni binadamu wa kawaida mwenye familia yake kama mtu mwingine yeyote anaishi huko Indiana.
View attachment 1047941
Na kama ulikuwa mtazamamji wa HGTV mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000 utakuwa uliwahi kuona show ya hawa Rice Brothers (Greg & John Rice) ambao walikuwa ni mamilionea wakubwa sana katika real estate business na walikuwa drwafs. Walisifika kwa kumiliki na majumbwa makubwa makubwa na magari ya kifahari kama Rolls-Royce, Lamborghini na mengine ya aina hiyo ambayo yalikuwa yametengezwa maalumu kulingana na ukubwa miili yao.
View attachment 1047944
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazingua boss mgoogle huyu jamaa Peter DinklageWapo wa jamii zote ulizotaja hapo.
MKuu umejibu vyema ila shida yako ni moja unashindwa kuelewa kati ya maana ya neno na movies ni nini?
nilichokuelekeza mimi ziada ni synonyms
Chukua dictionary unayoitumia angalia wamekupa tafasiri gani
=>dwarf
(in folklore or fantasy literature) a member of a mythical race of short, stocky humanlike creatures who are generally skilled in mining and metalworking.
=>pygmy
A member of certain peoples of very short stature in equatorial Africa and parts of SE Asia. Pygmies (e.g. the Mbuti and Twa peoples) are typically nomadic hunter-gatherers with an average male height not above 150 cm (4 ft 11 in.).
Sasa ukisoma haya rejea tena hao short people of america utaelewa kitu
Hapa tunaweza kuwa tunahangaishwa na mwalimu mjuaji. Tuishieni tu ku-like na kuuliza, kuhoji ama kukanusha tuacheni.
Maana kwa hili somo, huyu kisuguu ni lake.
Sababu nimeona tangu miaka hiyo ya nyuma topic hii ilipoanzishwa, hakuna aliyeweza kumkaribia kisuguu kwa umahiri wake wa kujieleza juu ya hili somo.
Big up mkuu kisuguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mlio tembea tembea, hivi kuna Mbilikimo wa jamii za
Wazungu ?
Waarabu ?
Wahindi ?
Wachina ?
Wafilipino ?
Nk
Ukiaachana hawa wa Kiafrika.
UMESOMA MKUU kama mtu hajaelewa basi tenaSwaali zuri sana;
Kwanza fahamu kuwa kuna mbilikimo wa aina mbili: mbilikimo wa asili (pygmy) na mbilikimo wa ugonjwa (dwarf). Wale wa kongo ni mbilikiko wa asili kwa maana ya kuwa maumbile yao ni asili yao na yanatokana na mazingira yao ya asili. Umbilikimo wa aina hii ni hereditary kwa maana ya kuwa huzaliwa na mbilikimo pia. Ni kama ambavyo maumbile ya asili ya waachina yalivyo tofauti na maumbile ya asili ya wazungu, na pia wachina huzaliwa na wachina tu.
Kuna mbilikimo wa aina nyingine ambao wanapata matatizo ya mwili kushindwa kutengeneza hormones zinazohitajika mwili kukua, na hivyo kubaki na umbo la kitoto maisha yao yote; hawa wanajulikana kama drwafs. Mbilikimo wa aina hii huweza kutokea katika familia yoyote ile, wazazi wawili warefu wanaweza kuzaa mbilikimo wa aina ya dwarf.
Theories zinazonyesha kuwa evolutionary process iliyosababisha waafrika wakawa na ngozi nyeusi kutokana na mazingira ya joto la tropical, ndiyo pia iliyosababisha watu waliokuwa wakiishi kwenye misitu mizito kama vile Kongo kuwa wafupi kwa vile miili yao ilikuwa inakosa mwanga wa jua kutengeneza vitamin D; kwa hiyo miili yao ikawa haiwezi ku-absrob calcium ya kutosha, jambo liliosababisha wawe na mifupa midogo na hivyo kuwa na miili midogo. Misitu ya Kongo ndiyo yenye mbilikimo wengi wa aina hiyo ikifuatiwa na misitu ya Amazon huko Brazili. Kuna sehemu nyingine za dunia kama Papua New Guinea na Australia ambako pia kuna mbilikimo waliotokana na misitu mikubwa iliyokuweko maeneo hayo.
😁😀😂😂🤣Kichuguu, you have made my day!. Niombe wala ambao hawajamuelewa wajue kuwa ametoa maelezo kwa ufupi sana lakini yanayojitosheleza. Ila mnaweza kuendelea kujifunza zaidi kwa kutafiti tena na tena badala ya kubisha kwa kitu msichokijua. Unapozungumzia evolution ni kitu complex kidogo, sio cha kuendea haraka
Mkuu Kwani Wanaliwa?Yes wale ni chakula safi wanaliwa yaani wana nyama flani hivi, lakini sio mbilikimo wote wa congo ispokuwa hao nnao kwambia na sababu wanaishi msituni wanajua kama wao ni nyama.
Asante kwa ufafanuzi, je vipi kuhusu wanasayansi wanaosema environmental factors can not be inherited? Yaani ilitegemea kama Adam na Hawa walikua wazungu basi wanadam wote ilitakiwa tuwe wazunguSwaali zuri sana;