Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Asante kwa ufafanuzi, je vp kuhusu wanasayansi wanaosema environmental factors can not be inherited? Yan jilitegemea kama adam na hawa walikua wazungu basi wanadam wote ilitakiwa tuwe wazungu
Hakuna sayansi ya namna hiyo. Ulishaoana Wayahudi wa Ethiopia ukawalinganisha na Wayahudi wa Urusi?
 
Hakuna sayansi ya namna hiyo. Ulishaoana Wayahudi wa Ethiopia ukawalinganisha na Wayahudi wa Urusi?
Hujanielewa namaanisha kwa nini kama mtu amepata ulemavu labda kwa ajali au mtu ni mweusi akajipoa akawa mweupe hawezi kua na mtoto mwenye sifa kama zake thus i mean environmental factors can not be inherited
 
Halafu nasikia kuna mafala wa huko Congo wanawala hao washkaji, noma sana
 
Hujanielewa namaanisha kwa nn kama mtu amepata ulemavu labda kwa ajali au mtu ni mweusi akajipoa akawa mweupe hawez kua na mtoto mwny sifa kama zake thus i mean environmental factors can not be inherited
Ulemavu au kujichubua ngozi kwa mkorogo siyo environmental factors bali ni artificial body modification. Hata ulemavu wa kuzaliwa nao unaweza kuwa artificial body modification kama unatokana na jinsi mama alivyolea mimba; mambo ya aina hiyo hayarithiwi. Ulemavu unaotokana na genetics kwa mfano ugonjwa wa sickle cell au breast cancer vinarithiwa.
 
Angalia mashindano ya mpira wa mbilikimo wa Brazil, Argentina Chile na Bolivia

"Evolution by natural selection" Ni mazingira ya pale ndiyo yamewafaa , na wao wakayafaa.
 
The Central African rainforest is home to some of the most celebrated tribal people, the so-called Pygmies of the Ituri forest in northern DRC. The tallest of these people, known as the Mbuti, rarely exceed 5 feet (1.5 m) in height. Besides the Mbuti, there are three other major rainforest peoples of Africa: the Aka (Central African Republic and northern Congo), the Baka (southern Cameroon), and the Twa (central Zaire river basin). Together these groups account for some 130,000 to 170,000 forest dwellers distributed over a large area of forest. The result is low population density; the Mbuti average fewer than one person per every one-and-a-half square miles (four square kilometers).

African forest people tend to be noticeably smaller than those from the savannas, the Pygmies being the most extreme example. Their small stature undoubtedly enables them to move about the forest more efficiently than taller peoples. Additionally, their smaller body mass allows pygmies to dissipate their body heat more efficiently.

These peoples live in bands that range in size from 15-70 people depending largely on outside factors -- hunting, trading, disease, and forest area. These groups tend to be nomadic, moving to new parts of the forest several times during the year and carrying all their possessions on their back. Their nomadic lifestyle is less damaging to the rainforest environment because it allows the group to move without over-exploiting the local game and forest resources.
Hivi huwezi andika kwa Kiswahili chetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swaali zuri sana;

Kwanza fahamu kuwa kuna mbilikimo wa aina mbili: mbilikimo wa asili (pygmy) na mbilikimo wa ugonjwa (dwarf). Wale wa kongo ni mbilikiko wa asili kwa maana ya kuwa maumbile yao ni asili yao na yanatokana na mazingira yao ya asili. Umbilikimo wa aina hii ni hereditary kwa maana ya kuwa huzaliwa na mbilikimo pia. Ni kama ambavyo maumbile ya asili ya waachina yalivyo tofauti na maumbile ya asili ya wazungu, na pia wachina huzaliwa na wachina tu.

Kuna mbilikimo wa aina nyingine ambao wanapata matatizo ya mwili kushindwa kutengeneza hormones zinazohitajika mwili kukua, na hivyo kubaki na umbo la kitoto maisha yao yote; hawa wanajulikana kama drwafs. Mbilikimo wa aina hii huweza kutokea katika familia yoyote ile, wazazi wawili warefu wanaweza kuzaa mbilikimo wa aina ya dwarf.

Theories zinazonyesha kuwa evolutionary process iliyosababisha waafrika wakawa na ngozi nyeusi kutokana na mazingira ya joto la tropical, ndiyo pia iliyosababisha watu waliokuwa wakiishi kwenye misitu mizito kama vile Kongo kuwa wafupi kwa vile miili yao ilikuwa inakosa mwanga wa jua kutengeneza vitamin D; kwa hiyo miili yao ikawa haiwezi ku-absrob calcium ya kutosha, jambo liliosababisha wawe na mifupa midogo na hivyo kuwa na miili midogo. Misitu ya Kongo ndiyo yenye mbilikimo wengi wa aina hiyo ikifuatiwa na misitu ya Amazon huko Brazili. Kuna sehemu nyingine za dunia kama Papua New Guinea na Australia ambako pia kuna mbilikimo waliotokana na misitu mikubwa iliyokuweko maeneo hayo.
Kiwango ulichoelezea kwa kweli ningeweza kuweka like 80 mi mwenyewe ningeweka

Nimeelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some environmental conditions can modify the DNA controlling the switching of different genes in an organism, but then again, this process is evolutionary.
Sawa Sawa
 
Swaali zuri sana;

Kwanza fahamu kuwa kuna mbilikimo wa aina mbili: mbilikimo wa asili (pygmy) na mbilikimo wa ugonjwa (dwarf). Wale wa kongo ni mbilikiko wa asili kwa maana ya kuwa maumbile yao ni asili yao na yanatokana na mazingira yao ya asili. Umbilikimo wa aina hii ni hereditary kwa maana ya kuwa huzaliwa na mbilikimo pia. Ni kama ambavyo maumbile ya asili ya waachina yalivyo tofauti na maumbile ya asili ya wazungu, na pia wachina huzaliwa na wachina tu.

Kuna mbilikimo wa aina nyingine ambao wanapata matatizo ya mwili kushindwa kutengeneza hormones zinazohitajika mwili kukua, na hivyo kubaki na umbo la kitoto maisha yao yote; hawa wanajulikana kama drwafs. Mbilikimo wa aina hii huweza kutokea katika familia yoyote ile, wazazi wawili warefu wanaweza kuzaa mbilikimo wa aina ya dwarf.

Theories zinazonyesha kuwa evolutionary process iliyosababisha waafrika wakawa na ngozi nyeusi kutokana na mazingira ya joto la tropical, ndiyo pia iliyosababisha watu waliokuwa wakiishi kwenye misitu mizito kama vile Kongo kuwa wafupi kwa vile miili yao ilikuwa inakosa mwanga wa jua kutengeneza vitamin D; kwa hiyo miili yao ikawa haiwezi ku-absrob calcium ya kutosha, jambo liliosababisha wawe na mifupa midogo na hivyo kuwa na miili midogo. Misitu ya Kongo ndiyo yenye mbilikimo wengi wa aina hiyo ikifuatiwa na misitu ya Amazon huko Brazili. Kuna sehemu nyingine za dunia kama Papua New Guinea na Australia ambako pia kuna mbilikimo waliotokana na misitu mikubwa iliyokuweko maeneo hayo.
Umefafanua vyema sana
 
Nasikia wanaliwa, tena kwa kuwindwa kama Swala.
 
MAMMAMIA;

Sina uhakina na yatakayotokea miaka milioni tano zijazo kwa sababu najua kuwa siku hizi watu hawakai sehemu moja kama ilivyokuwa miaka milioni tano zilziopita. Ila nina uhakika kuwa mazingira hubadilisha namna ambavyo miili inavyo-interact nayo. kwa mfano, nilipokuwa naishi Dar es salaam, nilikuwa sina matatizo na lile joto la mtaa wa Msimbazi, lakini siku hizi kila nikirudi Dar huwa naishia kuwa navuja jasho kila wakati nipokuwa siko kwenye nyumba yenye air conditioner.
Sasa kama huna uhakika kwanini hili la mbilikimo umelijengea hoja na kulihusisha na dhana ya Evolution, huoni kama hapa umeandika uongo na huwezi kuthibitisha ukweli wa maelezo yako ?
 
Wakuu jamii ya Mbilikimo wengi wamekuwa wakipatikana katika misitu ya Jamhuri ya Congo, ingawaje hata hapa Tanzania kuna wachache mfano kuna Dada mmoja ktk kundi la VITUKO SHOW.

Sasa mwenye kujua hasa kule Kongo kwanini huwa wanapatikana kwa idadi kubwa anaweza tujuza.

Mwanamuziki hayati PEPE KALE nae alikuwa anawashirikisha katika kazi zake za muziki enzi za uhai wake.

====
Majibu
Kwanini Waafrika wengi wanapatikana barani Afrika. Au kwa nini wahindi wengi wanapatikana barani Asia?
 
Mijadala yenye asili ya ubishi kama hii huwa naichukia sana. Sijakwepa swali na wala sikusema kuwa sitakuwepo; nimesema sijui kwa vile dunia ya leo ina movements sana na watu hawakai sehemu moja sana kiasi cha kuwa affected na mazingira kama ilivyokuwa zamani kwa hiyo huenda kusiwe na mabadiliko makubwa sana kama ilivyokuwa zamani; sijui itakuwaje. Je hukusoma jibu hilo ndugu yangu? mbona aliyeliuliza amelielewa na kulikubali? Ukishaleta mijadala yenye asili kubishana kama hii huwa ninajiondoa; kuna swlai umeniuliza hapoa nyuma nilikuwa ninataka kulifuatlia lakini huenda hutaniskia nakujibu tena.
Kaka swali la msingi kwangu, je unaweza kututhibitishia hali ilivyokuwa miaka elfu nyuma juu ya hao mbilikimo walikuwaje ? Maana umekiri ya mbeleni huyajui sasa hayo ya nyuma mpaka wakawa vile walivyo ?
 
Back
Top Bottom