Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Some environmental conditions can modify the DNA controlling the switching of different genes in an organism, but then again, this process is evolutionary.
I understand that it is an evolutionary process, and in one of my previous posts I have even cautioned that the time scale for an evolutionary process is millions of years. My question is simple, what environmental factors lead to these evolutionary changes in our body structures? Are they those that directly interact with our bodies, or the ones that interact with our minds?
 
Sijajibiwa nilichouliza hapo juu!

Wapi mkuu, mbona nilikujibu kuwa Amerika ya kusini, Africa, Australasia (Australia, New Zealand na visiwa vyote maeneo hayo) na India vyote vilikuwa ni vipande vya Afrika vilivyogawanyika kutokana na matetemeko na kuelea kwenda huko viliko leo. Kwa hiyo watu wa asili wa huko walitokana na mazingira waliyokuwa wamevolve nayo wakati mapande haya yakiwa yameungana. Evolution inatokea kwa miaka milioni nyingi sana kwa hiyo tofauti baina yetu hazijaanza kuonekana na kutokana na teknolojia leo kuwa tunazunguka sehemu mbalimbali za dunia inawezakana kuwa tofauti hizo hazitabidilika kwa miaka labda milioni mia tano zijazo.

Nimekushauri uaome theories za Pangaea na za Plate Tectonics kujua jinsi mgawanyiko baina ya Australia, Afrika, India na South America ulivyotokea ukitumia ushahidi uliopo leo kutokana na namna ambavyo matetemeko ya dunia hutokea.

Swali la ufupi wa mbilikimo wa mistuni ninadhani nilileleza kwa ufupi sana lakini kwa uwazi wa kutosha.
 
My question is simple, what environmental factors lead to these evolutionary changes in our body structures?
Any long exposure to extreme conditions (temperatures, scarcity of food, predators, change in ecosystem) that endanger animal's survival.
Are they those that directly interact with our bodies, or the ones that interact with our minds?
It doesn't matter whichever comes first
 
Uhamiaji uliotokea baada ya ugunduzi wa vyombo vya kusafuiria ndio uliosababisha watu hawa kuchanganyikana; hakukuwa na mtu mweupe kusini ya ikweta. Uhamiaji huo umetokea miaka isyozidi 2000 zilizopita, kipindi ambacho si kifupi sana katika process ya evolution. Makabugeru wamehamia Afrika ya kusini kuanzia mwaka 1600 tu; hicho ni kipindi kifupi sana katika process ya evoltion ambayo inahesabika katika miaka ya mamilioni.
Kichuguu Mkuu, ningependakujua kwa mawazo au uhakika wako kuwa baada ya miaka hiyo ya mamilioni ​hao makaburu wa Afrika ya Kusini watakuwa weusi na Negros wa Marekani na Latin Amerika watakuwa weupe? Unadhani au una hakika kuwa genetics inaweza kuathiriwa na climate baada ya mamilioni ya miaka?
 
MAMMAMIA;

Sina uhakina na yatakayotokea miaka milioni tano zijazo kwa sababu najua kuwa siku hizi watu hawakai sehemu moja kama ilivyokuwa miaka milioni tano zilziopita. Ila nina uhakika kuwa mazingira hubadilisha namna ambavyo miili inavyo-interact nayo. kwa mfano, nilipokuwa naishi Dar es salaam, nilikuwa sina matatizo na lile joto la mtaa wa Msimbazi, lakini siku hizi kila nikirudi Dar huwa naishia kuwa navuja jasho kila wakati nipokuwa siko kwenye nyumba yenye air conditioner.
 
I will break your response into two parts as follows:

Any long exposure to extreme conditions (temperatures, scarcity of food, predators, change in ecosystem) that endanger animal's survival.
Exactly, that is the basis for the theory of evolution; I totally agree with you.

It doesn't matter whichever comes first

Unfortunately not in this case. We are capable of changing the environment to fit what our minds want. That is why we developed all technologies that we have today in response to how our minds were affected by the environment.

Evolutionary changes are caused by things we do not have control of.
 
Unfortunately not in this case. We are capable of changing the environment to fit what our minds want. That is why we developed all technologies that we have today in response to what our minds ware affected by the environment.

That is usually a temporal logic my friend, in evolutionary time our genes (read bodies) win hands down, every time, to determine what's best for us based on the amount of data collected over millions of years down the line.
 
yes, but what you do not seem to acknowledge is that, if there is a factor that is affecting our minds, and we are capable of finding ways to deal with it, then our bodies' perceptions to that factor will keep changing with time; hence, as you acknowledged earlier, that factor will never qualify to have persistently existed for a prolonged period time and it won't affect the structure of our bodies. It may affect our thinking, but not the structure of our bodies.
 
I understand that it is an evolutionary process, and in one of my previous posts I have even cautioned that the time scale for an evolutionary process is millions of years.

Who counted all those millions of years? Is there any human being that lives that long?

Evolution to me is total BS.
 
Who counted all those millions of years? Is there any human being that lives that long?

Nyani; don't turn yourself to be among those simple minds of the Thomas type. You got to wake up and learn to see things through a different lens. In science we always start where others left unless there is a strong reason to revisit earlier information. In the present case you have to have strong scientific reasons to discredit the theory of evolution rather than asking who counted the years.

Less than twenty years ago, we used to treat Malaria by just a single dose of 4/2/2 chloroquine tables; Plasmodium parasites evolved and their bodies developed ways to survive within the chloroquine infested environment. Today, as you and everybody knows, Chloroliquine is no a longer a threat to Plasmodium. That is a result of the theory of evolution!
 
Nyani; don't turn yourself to be among those simple minds of the Thomas type. You got to wake up and learn to see things through a different lens. In science we always start where others left unless there is a strong reason to revisit earlier information.

That to me only applies to things that make practical sense and not the ones that so outrageously strain credulity. Millions of years....are you kidding me? And how many millions - 10, 20, 30, 400....?

In the present case you have to have strong scientific reasons to discredit the theory of evolution rather than asking who counted the years.

I disagree. If something doesn't make sense I don't have to provide anything in order to discredit it.

My line of questioning should suffice.

Who counted all those millions of years? Who was there throughout those millions of years to actually establish that time scale?

Less than twenty years ago, we used to treat Malaria by just a single dose of 4/2/2 chloroquine tables; Plasmodium parasites evolved and their bodies developed ways to survive within the chloroquine infested environment. Today, as you and everybody knows, Chloroliquine is no a longer a threat to Plasmodium. That is a result of the theory of evolution!

What if we just found a better way to fight those parasites and not because they evolved?

And what evidence is there that establishes their evolution as opposed to our advancement in medical science?
 
For us long time is like 100-1000years, for genes long time is several millions years, even hundred millions.

It takes very very long time in our perspective, for a gene to mutate naturally to adopt the environment.

Wazungu wakiishi miaka 5000 Afrika, hawawezi kuwa weusi.

Ukija baada ya miaka 1,000,000 utaona tofauti. Baada ya 10,0000,000 watakuwa wa aina yake, tofauti na wenzao wa ulaya.

Ile genome project imeweza ku-decode mambo mengi sana kuhusu gene.

Gene za viumbe hai zina hifadhi program ya asili yake na historia ya mabadiriko na wakati yalipotokea.

Huhitaji kuishi miaka 1000,000 kujua nini kilitokea 1M years ago
 
information about creation is always in front of us, coded in natural languages, waiting to be decoded.

The number one task, is to know the program language which takes time.

The second thing is to read understand and decode.

I have a hint on they do it but, It is complicated for me to explain.

For example, For untrained eyes

cin>> Great;
cout<< "decode me";

Are mere meaningless english words and symbols, for a C++ program language beginner, it means something.
 
kwanini unasema wanapatikana kwenye misitu? wao ni wanyama wa pori? if yes, mbona wapo town tunakula nao story? nisaidie hapo brother

Swaali zuri sana;

Kwanza fahamu kuwa kuna mbilikimo wa aina mbili: mbilikimo wa asili (pygmy) na mbilikimo wa ugonjwa (dwarf). Wale wa kongo ni mbilikiko wa asili kwa maana ya kuwa maumbile yao ni asili yao na yanatokana na mazingira yao ya asili. Umbilikimo wa aina hii ni hereditary kwa maana ya kuwa huzaliwa na mbilikimo pia. Ni kama ambavyo maumbile ya asili ya waachina yalivyo tofauti na maumbile ya asili ya wazungu, na pia wachina huzaliwa na wachina tu.

Kuna mbilikimo wa aina nyingine ambao wanapata matatizo ya mwili kushindwa kutengeneza hormones zinazohitajika mwili kukua, na hivyo kubaki na umbo la kitoto maisha yao yote; hawa wanajulikana kama drwafs. Mbilikimo wa aina hii huweza kutokea katika familia yoyote ile, wazazi wawili warefu wanaweza kuzaa mbilikimo wa aina ya dwarf.

Theories zinazonyesha kuwa evolutionary process iliyosababisha waafrika wakawa na ngozi nyeusi kutokana na mazingira ya joto la tropical, ndiyo pia iliyosababisha watu waliokuwa wakiishi kwenye misitu mizito kama vile Kongo kuwa wafupi kwa vile miili yao ilikuwa inakosa mwanga wa jua kutengeneza vitamin D; kwa hiyo miili yao ikawa haiwezi ku-absrob calcium ya kutosha, jambo liliosababisha wawe na mifupa midogo na hivyo kuwa na miili midogo. Misitu ya Kongo ndiyo yenye mbilikimo wengi wa aina hiyo ikifuatiwa na misitu ya Amazon huko Brazili. Kuna sehemu nyingine za dunia kama Papua New Guinea na Australia ambako pia kuna mbilikimo waliotokana na misitu mikubwa iliyokuweko maeneo hayo.
 
That to me only applies to things that make practical sense and not the ones that so outrageously strain credulity. Millions of years....are you kidding me? And how many millions - 10, 20, 30, 400....?

I disagree. If something doesn't make sense I don't have to provide anything in order to discredit it.

My line of questioning should suffice.

Who counted all those millions of years? Who was there throughout those millions of years to actually establish that time scale?

What if we just found a better way to fight those parasites and not because they evolved?

And what evidence is there that establishes their evolution as opposed to our advancement in medical science?
I see that there is no end along your line of arguments; you seem to be among those who put their fingers in a corrosive liquid to verify that it is indeed corrosive. Did you hear about this guy who did not believe any theory about effects of snake bite venom?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom