johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Niliona video anasema wasimchezee... Ana cheti cha milembe.. hivi ni kweli..???!!Unategemea nini kitatokea Mkuu, pale ambapo kiongozi anaepewa dhamana ya kusimamia Taasisi kubwa kama bunge ni holder wa CPA ya Milembe??
Halafu sheria za bunge haziruhusu kumuongelea bngeni mtu ambae hana nafasi ya kujibu bungeni. By the way. Hatuna bunge bali tuna kamati kuu B ya Ccm.Unategemea nini kitatokea Mkuu, pale ambapo kiongozi anaepewa dhamana ya kusimamia Taasisi kubwa kama bunge ni holder wa CPA ya Milembe??
Ukona hivi ujue WAJUMBE walio ndani ya mjengo:Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.
Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?
Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?
Niishie hapo.
Sasa kama yeye mwenyewe ndungai kaitangazia duniani kuwa ni kichaa sisi ni nani wa kumpinga?Niliona video anasema wasimchezee... Ana cheti cha milembe.. hivi ni kweli..???!!
Kazi ipoSasa kama yeye mwenyewe ndungai kaitangazia duniani kuwa ni kichaa sisi ni nani wa kumpinga?View attachment 1751226
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.
Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?
Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?
Niishie hapo.
Na uongozi siyo lazima uwe ikulu sijui kilingeni kwa andunje au ofisini wapi sijui! Mbowe anaongoza taifa, bunge linaenda atakavyo yeye! Tatizo tu, anaweza kusabisha tena bendera zipepee nusu mlingoti, mativii yaanze tena kuonesha wasanii wamevaa nguo nyeusi wanakaza nyuso wakiimbia kiongozi wa mhimili!🤣 Eti, neeeendaaaa!!Tumewaambia mara kadhaa , na labda turudie tena Bilionea Mbowe ndiye anayetoa Dira ya Taifa
Pale ni kibarazan kwenye mkeka unaongea chochote tu utachojisikiaJana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.
Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?
Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?
Niishie hapo.
Mahubiri ya nini wakati Injili inajieleza yenyewe!Bwashee, siku ukibahatika kwenda church uwe makini kusikiliza mahubiri ya neno lenyewe ili usiishie kuambulia mifano na explanations peke yake
Kasema yeye, wewe nani ukatae?Niliona video anasema wasimchezee... Ana cheti cha milembe.. hivi ni kweli..???!!