ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Kwan na chuo cha milembe kinatoaga CPA??
Unategemea nini kitatokea Mkuu, pale ambapo kiongozi anaepewa dhamana ya kusimamia Taasisi kubwa kama bunge ni holder wa CPA ya Milembe??