Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
naona unaruka ruka tu kama umeukalia. Kwa hiyo ulitakaje,waje kwenye party wamenuna au wabebe visu.Mfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. 👋🏿😁 Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.
👆👉🏽tunafahamu hampendi kusikia haya lakini ni lazima tuambiane Ukweriii 😁
👉🏽Mfalme ataishia kama Lyatonga Mrema, Prof. Ibrahim Lipumba na John Momose Cheyo.
uhusiano wa Freeman Mbowe na CCM hatuuelewi kwa kweli.Weka ushahd we msoga gang
We ni msoga gang, kupata a Kwa CDM na CCM kwako ni kikwazo maana mlizoea kumchonganisha MTAWALA na upinzani Ili mfanye yenu....uhusiano wa Freeman Mbowe na CCM hatuuelewi kwa kweli.
CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.
wakati huo mwenyekiti wao anakesha kuomba vikao vya Siri na CCM/Ikulu.
Aliyekusomesha Bora hizo hela angehonga Malaya kuliko ununuzi unaoandikaWanaukumbi.
Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?
Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?
Anakenua tu…
Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.
Watakuja kusema ni photoshop... tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Labda maza ake anavaaKwasababu havai
Uliza kingine