Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

Kama unataka kwenda kumvalisha tisheti ya Katiba mpya sema utapewa na nafasi ya kumvalisha boksa pia ili utimiziwe hitaji la moyo wako la muda mrefu.
Nafasi yako ipo ni wewe kusema tu mleta mada.
 
Mfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. 👋🏿😁 Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.

👆👉🏽tunafahamu hampendi kusikia haya lakini ni lazima tuambiane Ukweriii 😁

👉🏽Mfalme ataishia kama Lyatonga Mrema, Prof. Ibrahim Lipumba na John Momose Cheyo.
naona unaruka ruka tu kama umeukalia. Kwa hiyo ulitakaje,waje kwenye party wamenuna au wabebe visu.

Wewe ni hater mwandamizi well known. Uje na jipya
 
Weka ushahd we msoga gang
uhusiano wa Freeman Mbowe na CCM hatuuelewi kwa kweli.

CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.

wakati huo mwenyekiti wao anakesha kuomba vikao vya Siri na CCM/Ikulu.
 
naona unaruka ruka tu kama umeukalia. Kwa hiyo ulitakaje,waje kwenye party wamenuna au wabebe visu.

Wewe ni hater mwandamizi well known. Uje na jipya
Vipi bado bado mnavaa tshirt zenu mmeandika Rais Samia Dikteta?
 
uhusiano wa Freeman Mbowe na CCM hatuuelewi kwa kweli.

CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.

wakati huo mwenyekiti wao anakesha kuomba vikao vya Siri na CCM/Ikulu.
We ni msoga gang, kupata a Kwa CDM na CCM kwako ni kikwazo maana mlizoea kumchonganisha MTAWALA na upinzani Ili mfanye yenu....
 
Wanaukumbi.

Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?

Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?

Anakenua tu…

Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.

Aliyekusomesha Bora hizo hela angehonga Malaya kuliko ununuzi unaoandika

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Je bado kuna maswali zaidi

1654110741937.png
1654111808319.png

1654111234852.png
 
Back
Top Bottom