Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

Nimemuona yeye na Lema wanasema wachaga wanaonewa na CCM hivyo waakikishe chama cha wachaga kinachukua nchi. Amefeli sana kufikiri uchaga utamfikisha popote
 
Chaggaphobia itakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…