Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

Ili chadema ionekane ni chama cha demokrasia nashauri mbowe aachie ngazi. Asigombee tena uenyekiti
Nani anapaswa kuchokwa,Mbowe kama Mwenyekiti CHADEMA au CCM ambayo Ina zaidi ya miaka 60 madarakani, kuanzia iliopokuwa TANU
 
Back
Top Bottom