Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

Wasomi wetu wakiwa serious kuzitatua Changamoto za watanzania[emoji1787][emoji116]
 
Huyu ndio alikuwa kinara wa wasomi mwitu, PhD ya kuungaunga ndio ametufikisha hapa wasomi kudharaulika.

Msukuma anapaswa kufahamu kwamba wasomi wenye kujitambua wapo sana Ila ni hiyohiyo CCM haiwataki inateuwa wademkaji kama Kabudi na group lake.

Pia afahamu kwamba wasomi wapo sana tu Ila mawazo yao hayaheshimiwi hata wanapoteuliwa maana wataonekana wanamuoutshine kiongozi wa juu yao.

Njia pekee ni kuungana na wajinga unaweka cheti mfukoni maana ukiingia CCM unabakiza jina PhD Ila matendo unajitoa uelewa.

Ni Hawa wajinga ndio wanapelekea wasomi waamue kujifanya wajinga maana nae anadharau wasomi kila siku hii Ina maana hata ukifanya na kazi atajiona yeye ndio ana akili wakati ni mjinga tu.
 
Kwasababu anaona wenye BAED sikuhizi wanakesha kubeti wakati walikuwa wanaheshimiwa
 
Hao wasomi wanatija gani hadi sasa iwapo tunagail wakiwepo?

Au kipi cha maana wameiletea nchi hii kama siyo umaskini kwa kulipana mishahara mikubwa?
 
Wasomi ka hawana faida hospitalini huwa unatibiwa na nyanya yako au ukienda kwenye huduma muhimu huwa hukuti wataalamu?
Kwahyo unashauri serikali ifute shule zote tubaki na kina musukuma eti?
 
Hivi ni maana ya msomi?

Je ni kipi hasa kinamtambulisha msomi kuwa ni msomi?

Kuna haja gani ya kuwa na wasomi ambao hawajijui kuwa ni wasomi?

Usomi siyo kukopi na kupaste bwana lazima uoneshe ulichosomea kwa jamii.
 
He is suffering from inferiority complex .Ndugai ampeleke milembe akapimwe.He is not normal upstairs
 
Kama jimboni alipita bila rushwa nampongeza kwa kuwashinda wasomi kwa hoja! Ila kama alitoa rushwa ili apite mmmmmm!!!
 
Hivi ni maana ya msomi?

Je ni kipi hasa kinamtambulisha msomi kuwa ni msomi?

Kuna haja gani ya kuwa na wasomi ambao hawajijui kuwa ni wasomi?

Usomi siyo kukopi na kupaste bwana lazima uoneshe ulichosomea kwa jamii.
Ndio ninachokiongea hapo otherwise tukianza kujadili unachoongea tutahama kwenye mada na usomi wetu hautatusaidia jomba.
 
Wasomi ka hawana faida hospitalini huwa unatibiwa na nyanya yako au ukienda kwenye huduma muhimu huwa hukuti wataalamu?
Kwahyo unashauri serikali ifute shule zote tubaki na kina musukuma eti?
Hospitalini kuna wagawa vidonge na wachoma sindano. Tulitaka watengeneza vidonge na sindano. Ndiyo maana wale walioungua kule Morogoro walikufa wote. Watoa vidonge na wagawa dawa walishindwa kuwaokoa. Ingekuwa Ulaya wale wote wangepona.

Mabenki kuna watunza fedha. Tulitaka wabunifu wa kutengeneza mifumo ya upatikanaji wa fedha.
 
Unaongea pumba tu na ww,, unemployment ni catastrophic event dunia nzima,, hata USA wanalalamika kuhusu hli,, unataka mtu wa forensic awe private detective, kwa resources gani alizonazo,,,, [emoji34][emoji34][emoji34]
 
Ni sawa tu maana hawajielewi kabisa wanasimamia nini ni unafiki tu ndo wajualo

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Elimu kazi ni kumwezesha mwanadamu kutatua changamoto zinazomzunguka.

Sasa kama umesoma halafu uwezo wako wa kupambana na changamoto ni sawa na wangu. Au pengine nakuzidi. Usomi wako una maana gani? Huko mnasomea ujinga na ngono tu.
MSENGEnyaji sana ww
 
Msukuma hajamdharau mtu, Ila amejidhalilisha mwenyewe.
Hapa duniani, hakuna awezaye kukudharau Kama hujamruhusu akudharau au akupuuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…