Yani wewe ujipeleke wizi wa mafuta uungue asilimia 95 utegemee ku solve aisee mbona ni impossible kabisa hyo.Hospitalini kuna wagawa vidonge na wachoma sindano. Tulitaka watengeneza vidonge na sindano. Ndiyo maana wale walioungua kule Morogoro walikufa wote. Watoa vidonge na wagawa dawa walishindwa kuwaokoa. Ingekuwa Ulaya wale wote wangepona.
Mabenki kuna watunza fedha. Tulitaka wabunifu wa kutengeneza mifumo ya upatikanaji wa fedha.
Fact.Inferiority complex tu zinamsumbua. anaona kabisa next round wasomi wata dominate hizo nafasi. ndio maana anajarib kuwashusha hadhi ili waonekane hawana maana.
lakin pia wasomi wetu lazima wajitafakari. they used to be the smart lakin leo wanapelekwa na upepo wa siasa. hali inayopelekea waonekane usomi wao hauwasaidii.
Pia ili uweze kutoa dawa kwa ufasaha lazima uwe na shule pia
Wangelkua na hakili kama usemavyo mwanya wa kusemwa usingelikuepo, maajabu chanya katika elimu zao isingekua siriHaina majibu hiyo.
Wenye akili wote hawabishani nae.
That will make them come down to his level. Mambo yanaendekea kila mtu anashiba
Inferiority complex tu zinamsumbua. anaona kabisa next round wasomi wata dominate hizo nafasi. ndio maana anajarib kuwashusha hadhi ili waonekane hawana maana.
lakin pia wasomi wetu lazima wajitafakari. they used to be the smart lakin leo wanapelekwa na upepo wa siasa. hali inayopelekea waonekane usomi wao hauwasaidii.MKUU
"Wanajikomba mno" hii ina sum up wasomi wetu na tabia zao.Mkuu hiyo para ya mwisho ndio imetoa mwanga dhatibi, wasomi wetu hata mimi wa darasa la Nane wa mtihani wa Cambridge nawaona ni bure kabisa, HAWAJIAMINI, Msukuma amesoma gepu, hana cha kupoteza kwenye ubunge wala nafasi ya kuteuliwa. Kwa hiyo anawalipua atakavyo na hawana chakumfanya. Wanajikomba mno.
Mama wa Elimu nae pia yumo, japo namkubali sana.Nchi hii tuna list ya wasomi mizigo kabisa,
Na bahati mbaya zaidi tulokua nayo wao ndio wameshikilia mpini wetu
Nawataja[emoji116]
1. Yule sabufa pale kiti Cha mbele kabisa.
2. Yule kalamaganda alietuletea urojo wa comoro
3. Yule Mama wa afya na msaidizi wake
4. Yule ya daktari kigamboni wa vifurushi nafuu
5. Yule katibu mkuu, kiongozi wa viti maalum
6. Yule Bwashee wa kilimo
7. Yule Dada Suu aliekuaga maliasili
8. Yule mchora mawe wa singida
9. Yule Mzungu kichaa wa ada ya uzalendo
10. Yule mzee wa UTANAMBIA NINI nina Degree Nne
11. Yule kesi wa kule KUSINI
12. Yule mfufua watu
13. Yule mzee wa injinia Soma iyo
14. Yule mzee wa vunjo paloli
15. Yule mama wa Nguvu za kiume bungeni
16. Wale madaktari Wote wa Muhimbili waliochonga dubwasha la kujifukiza
17. ...........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta professor mzima kutoka chuo kikuu anamshukuru mwanasiasa kwa kumtoa JALALANI.
Unabaki unajiuliza,
Ina maana Miaka yote iyO professor alikua akifundisha JALALANI?
Inamaana zile nots na nondo zote alizokua akiwalisha vijana wetu zilikua Ni TAKATAKA za jalalani?
Unapata jibu kua,
Professor elimu haijamkomboa, Bali yeye ndie alieikomboa elimu[emoji45]View attachment 1818608
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Wasomi wenyewe ndio hawa, Basi TUMEPIGWAView attachment 1818609
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uyu nae eti Ni msomi[emoji1787]View attachment 1818611
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msomi mwingine uyu hapa[emoji1787],
Tena daktari kabisa wa kutibu binadamu[emoji116]View attachment 1818612
Tena Jenista ni mbunge jimboni kwetu, lakini mambo anayofanya ni ujinga plus upumbavu mtupu. Halafu mroho wa madaraka hataki kuachia wengine. Msieeeew zake, tena ana Diploma tyuuh. HovyooooohAisee Hii nchi Ina Wasomi wengi sana[emoji116]View attachment 1818625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msomi mwenyewe[emoji1787]View attachment 1818636