Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

Mbwa anaanzaje kuranda mtaani, akingata mtu nani anawajbika? Mbwa asiye na wenyewe anapaswa kuuwawa na afisa wanyama na kwenda kuchimbiwa. Hatuhitaji mifugo bila mpangilio. Hata wanyama pori wanalindwa wasiingie kwenye makazi ya binadamu. Punguza ujinga
Wewe ni mpuuzi sana na unaonekana ni wale mazuzu wanaoabudu TAMADUNI ZA KITANGANYIKA ambazo hata hazijulikani zimeandikwa wapi.

Nchi nyingi zina VITUO MAALUMU vya kuhifadhi wanyama wanaorandaranda na sio KUWAUWA.

Na AFTER ALL, wanyama wanarandaranda kwa sababu yenu nyie MAZUZU mnaowaacha na kuwatelekeza.

Wanyama HAWAUWAWI, wanakusanywa na kutunzwa kwenye VITUO MAALUMU. Najua hili swala kwako ni gumu kulielewa kwa sababu maisha yako yote yanazunguka kwenye MUHIMILI wa MIHOGO na CHACHANDU.

ACHA UJINGA WE MZEE!
 
Unazungymzia Mbwa hawa hawa akina jeki, chui, simba nk au mbwa wengine?
Huko kwenu kama hamuwatupii mawe basi mmewafunza ustaarabu. Wa huku kwetu usipowatupia mawe watajaza kinyesi uwanja mzima. Watageuza nyumba yako sehem yao ya kujisaidia haja zote!
 
Kuna wakati mtaa flani mbwa walizidi
Haijakulikana hata wanaishi nyumba zipi
Bhnaa kilipita kikosi kinawarushia nyama zenye sumu…..
Ilikuwa wanarudi tu kuwaokota.
Huu ni UKATILI.

Hawana rasilimali za kuhifadhi wanyama, kwahiyo wanaona njia bora ni kuwamaliza.

Na si ajabu wanafanya haya mambo hata dhidi ya WATU pia.

Unadungwa LICHANJO LA CORONA unashtukia PAPUCHI inajaa mafangasi mpaka kizazi kinachoropoka.

Well, ni UTAMADUNI WA KITANGANYIKA.
 
Kuna wakati mtaa flani mbwa walizidi
Haijakulikana hata wanaishi nyumba zipi
Bhnaa kilipita kikosi kinawarushia nyama zenye sumu…..
Ilikuwa wanarudi tu kuwaokota.
Kama uko dar ukiona mbwa wanazaga,wasiliana na ile ngo iko obay watakuja kuwachukuwa
Mbwa wamekodiwa jumba zima uko obay wanapewa good time

Ova
 
huku kwetu usipowatupia mawe watajaza kinyesi uwanja mzima. Watageuza nyumba yako sehem yao ya kujisaidia haja zote!
This is IRRESPONSIBILITY.

Kazi ya mfugaji ni kuwatunza na kuwahifadhi wanyama na sio KULALAMIKA kuhusu KINYESI CHA MBWA.

ZOA MAVI KATUPE, kama hutaki MAVI basi USIFUGE MBWA na kuanza kumnyanyasa ati kisa KANYA.

Kwahiyo ulitaka ASINYE? This is MADNESS.
 
Mimi kinachonifanya nisimpende mbwa ni kule kujisaidia saidia hovyo kwenye kona za mitaa.

Namchukulia kama kiumbe mchafu sana.
Tena nyie ndo WACHAFU kuliko mbwa.

Ukipita DAR kila sehemu pananuka MAVI YA BINADAMU, mnakunya kwenye mitaro, mnakojoa hovyo, MAVI KILA PAHALA.

Mavi ya mbwa hayana hata harufu ukilinganisha na MAVI YENU nyie WAKAZI WA DAR.
 
Na kama wakinatiana ndiyo balaa watakimbizwa hata kilomita 5 na mawe juu
Oyaaa askuambie mtu zamani home kulikua na mbwa jike ikifika msimu wa kupandana tunampiga cheni usiku hatumuachii sasa kuna siku mbwa wa mtaani huko akasoma ramani kuna kidem hapo ndani akapambana kwenye fensi akaingia jike hana hiyana akampa si vikanasa alafu wasaidizi wa shetani tupo tunaona aloooo nilienda na fimbo nzito nikapiga pale kati paaaaahhh jike alitoa mlio sjawahi sikia dume alipita sehemu ambayo hawezi kupita akiwa timamu maana fensi ya boganvilia imeshona vizuri ila hakuhangaika kutafuta alipoingilia.

Nilimuhurumia baada ya kumcheka sana.

Ulivyoandika umenikumbusha matukio ya kizamani alafu ya kikatili
 
Tena nyie ndo WACHAFU kuliko mbwa.

Ukipita DAR kila sehemu pananuka MAVI YA BINADAMU, mnakunya kwenye mitaro, mnakojoa hovyo, MAVI KILA PAHALA.

Mavi ya mbwa hayana hata harufu ukilinganisha na MAVI YENU nyie WAKAZI WA DAR.
Kwa I wewe upo wapi? Najuaga siku zote upo Dar.
 
Kama uko dar ukiona mbwa wanazaga,wasiliana na ile ngo iko obay watakuja kuwachukuwa
Mbwa wamekodiwa jumba zima uko obay wanapewa good time

Ova
This is GOOD GOOD!! Nimeipenda.

Huko Tanganyika mijitu ni hovyo sana, hata wale MAKASUKU wanaojiita wasomi nao ni MAZUZU PLUS. Hakuna kitu wanajua zaidi ya kizungu feki cha YES OFKOZI YU KNOW.

Wanakwambia wanalinda UTAMADUNI WA KITANGANYIKA, kwa kupiga wanyama.
 
Kama uko dar ukiona mbwa wanazaga,wasiliana na ile ngo iko obay watakuja kuwachukuwa
Mbwa wamekodiwa jumba zima uko obay wanapewa good time

Ova
Hahaa mkuu watamaliza ma Mbwa yote haya ya mjini?
 
Back
Top Bottom