BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
- #21
Wewe ni mpuuzi sana na unaonekana ni wale mazuzu wanaoabudu TAMADUNI ZA KITANGANYIKA ambazo hata hazijulikani zimeandikwa wapi.Mbwa anaanzaje kuranda mtaani, akingata mtu nani anawajbika? Mbwa asiye na wenyewe anapaswa kuuwawa na afisa wanyama na kwenda kuchimbiwa. Hatuhitaji mifugo bila mpangilio. Hata wanyama pori wanalindwa wasiingie kwenye makazi ya binadamu. Punguza ujinga
Nchi nyingi zina VITUO MAALUMU vya kuhifadhi wanyama wanaorandaranda na sio KUWAUWA.
Na AFTER ALL, wanyama wanarandaranda kwa sababu yenu nyie MAZUZU mnaowaacha na kuwatelekeza.
Wanyama HAWAUWAWI, wanakusanywa na kutunzwa kwenye VITUO MAALUMU. Najua hili swala kwako ni gumu kulielewa kwa sababu maisha yako yote yanazunguka kwenye MUHIMILI wa MIHOGO na CHACHANDU.
ACHA UJINGA WE MZEE!