Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

Nakazia....
 
Binafsi huwa nina huruma sana na viumbe. Huwa naona kabisa, maisha ya mwanadamu hayatofautiani sana na ya viumbe wengine. Tumepewa utashi, ila haimaanishi tunapaswa kufanya mambo pasipo kutumia weledi kwenye fikra zetu.

Yule ni mnyama, anahitaji chakula, maji n.k kama ambavyo sisi tunahitaji. Hao wa kuzurura mtaani muda mwingine unakuta ni mazingira tu. Hata ingekuwa ni watoto hawapati matunzo majumbani, lazima wataonekana watoto wa mtaani. Watazurura ili wapate mahitaji yao.

wanyama wana uhai pia, na wao hufa kama ambavyo binadamu anakufa. Si jambo zuri kuwatesa wanyama. Wana hisia za maumivu pia, japo hawezi kusema lakini utagundua tu
 
Tena nyie ndo WACHAFU kuliko mbwa.

Ukipita DAR kila sehemu pananuka MAVI YA BINADAMU, mnakunya kwenye mitaro, mnakojoa hovyo, MAVI KILA PAHALA.

Mavi ya mbwa hayana hata harufu ukilinganisha na MAVI YENU nyie WAKAZI WA DAR.
Mkuu una hasira sana!

Kuna wengine wakiona mavi ya binadamu chakula kinashuka wakiona mavi ya mbwa chakula hakishuki,nisieleweke vibaya mimi mbwa nikimkuta kwenye territory yangu atanieleza ila nikimkuta anaranda randa pasiponihusu sihangaiki nae.
 
WELL SAID.
 
Sory mleta mada vip kuhusu watoto wa Mtaani ujawaona wew unaona mbwa kweli ...pale karikoo wale watoto wanaolala nje kwenye ule ukuta so sad....

Mbwa ana hakii ila Tungeaanza kupenda sis binadam kwanza mbwa ndo afuate
 
Hao watoto BABA ZAO ndio NYIE MMEJIBANZA MITANDAONI mnasikilizia upepo.

Nendeni mkawachukue watoto wenu.
 
Ukatili sana.

Wewe mwenyewe ukibinywa vikorodani vyako unapiga mayowe kama fisi, sembuse kutandikwa na fimbo!

Usirudie.
 
Sema ukweli tabia ya kupiga hao mbwa inanikera sana hana kosa haja kudhuru unampiga wa nini kibaya kingine hii tabia inarithishwa vizazi hadi vizazi utavikuta vitoto vya shule ya msingi vinamponda mbwa utadhani mbwa kala daftari lakee
 
Ni mbaya sana.

Wazazi wajinga na watoto wajinga vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…