Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

Kuna wakati nlisafirigi nkawapelekaga
Madogy wangu hapo walikaa mwezi
Nliporudi nkaenda wachukua

Hapo kuna mbwa na paka ni kama shelter yao

Ova
Unaweza nitajia jina la hiyo sehemu
 
Siyo tu kumtupia jiwe,, utoto wote nitaacha ila huu wa kukutana na mbwa nisimtishe hapana kwa kweli 🤗😤
 
Back
Top Bottom