Kwanini mchungaji Leoni Kimaro asibadili dini na kuwa muslam au Roman Catholic?

Anyway tumsamehe nae Ni binadamu atajirekebisha akimaliza likizo yake

Tukichukizwa Sana na yeye siyo sawa binadamu anakosea ila hamuondoi kuwa mchungaji ,mchangaji kakengekua tu ila ata kah sawa maisha yaendelee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa dini ya kikristo wale wabobezi kabisa wanajua kuwa dini ya haq mbele ya mwenyezi mungu ni ipi sema wanaficha ukwel huo....na wanajua kwl kwl kimaro karopoka tu.

qur an inasema

الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَعْرِفُونَهُ كَمَا يَعْرِفُونَ أَبْنَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّ فَرِيقًا مِّنْهُمْ لَيَكْتُمُونَ الْحَقَّ وَهُمْ يَعْلَمُونَ

[ AL - BAQARA - 146 ]
Wale tulio wapa Kitabu(wakiristo na wahayudi)wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.
 
🤔🤔 pole
 
Kuhusu uaminifu na tabia za udokozi nakubaliana nae asilimia nyingi sana.

Wenzetu waislam wana mapungufu yao Mengi ila hapo kwenye udokozi wameweza. Nenda nchi za arabuni wezi majambazi na wanyang’anyi ni wachache sanaaa tofauti na nchi zetu.
 
Kuhusu uaminifu na tabia za udokozi nakubaliana nae asilimia nyingi sana.

Wenzetu waislam wana mapungufu yao Mengi ila hapo kwenye udokozi wameweza. Nenda nchi za arabuni wezi majambazi na wanyang’anyi ni wachache sanaaa tofauti na nchi zetu.
Ila mtu mwema usimuangalie katika angle moja kama kimaro..inawezekana udokozi haujashamiri huko uarabuni kama sehemu zingine..Je,angle zingine vip..mfano waarabu wanaongoza kufukua njia ya vumbi sana iliyokatazwa na mwenyezi Mungu..Wanaweke huko kwao hawaruhusiwi kusoma mfano Afghanistan..na mambo mengine mengi...kubwa zaidi wamemkana christo..kimaro hamna kitu pale ni hewa
 

Na ana ndugu yake (kama sio kaka ni mdogo ake )ni muislam na ki mdugu baba mmoja mama mmoja
 
hakusema wanafiki. Alisema wezi. Usijitoe ufahamu.
 
Kusema wachungaji ni matapeli hali nae akiwa Mchungaji tena anategemea uchungaji Ili kuendesha uchumi wake hapo kapotoka kabisa.
Haijalishi hata kama alichokisema ni ukweli?
 
Imekaa hivyo hivyo.
 
Hilo Kanisa mwaka jana walianza mbeya sijui Rwanda wakahamia Isanga migogoro yao leo wapo Kijitonyama safari yao haitaishia hapo wataendelea kuhamisha migogoro kila kwenye fursa....hayo maneno ni sababu tu watu wenye Iman zao hawawezi kusimama na maneno hayo wanapiga mwendo tuu na kuangalia wapi tatizo...
 

Don't cheat yourself brother, your at a wrong way....JESUS Christ is the only way to heaven..case closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…