Kwanini Mchungaji Mtikila aliililia sana Tanganyika ambayo haipo badala ya Tanzania tuliyomo!

Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi

Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?

Kwaresma njema!
Katika hilo la kuililia Tanganyika mimi nilikuwa chawa wake.

Hatuwezi kuwa na serikali mbili tu ya Tanzania na Zanzibar bila kuwa na nyingine ya tatu ya Tanganyika.

Matokeo yake mzanzibar anakuja Tanganyika kutawala lakini Mtanganyika hawezi kwenda Zanzibar kutawala unless awe Mtanganyika wa ujanja ujanja kama mzee Mwinyi na kijana wake.
 
🤣
 
Aibu kubwa hii, hadi mkuu wa wilaya tunaletewa kutoka Zanzibar, kweli wazanzibari wametudharau sana
 
Mtikila was so brave. Aligundua maadui wa taifa ni CCM, Muungano na magabachori wezi
Mtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up kubwa nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.

🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • images (16).jpeg
    images (16).jpeg
    30 KB · Views: 10
  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    40.9 KB · Views: 12
Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi

Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?

Kwaresma njema!
alalae na kahaba , huwa ni mwili mmoja
 
Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi

Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?

Kwaresma njema!
Hata sasa kinachoulinda muungano isivunjike ni yale matambiko yaliyofanyika kuchanganya udongo wa z'bar na tanganyika, vinginevyo muungano hauna tija!
 
Wakati si wa milele, ipo siku Tanganyika itakuwa huru tena.

Natumaini kama sio huu muungano huwenda tungekua hatua moja au zaidi juu kiuchumi kuliko hapa tulipo leo.

Leo hii tuna ihudumua Zanzibar huduma sasa sawa na huduma zinazotolewa nchi nzima hali Zanzibar inalingana na wilaya moja wapo ya nchi hii!

Sijui kama kulikuwa na fikra yakinifu wakati ule waasisi walipofikiria kuungana.

Well com back our Tanganyika
 
Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi

Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?

Kwaresma njema!
Tanzania ni muungano kati ya Tanganyika na Zimbabwe(sic) Zanzibar, bila Tanganyika hakuna Tanzania, hivyo ipo na itakuwepo daima.
 
Mtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.
Naomba kuuliza kile kivuko matengenezo bilioni 7.5 na bei kivuko kipya bilioni 8.
Ulijibu
 
Haka ka muungano ketu ukikasoma vizuri mno utaona kalikuwa na harufu ya ka-usanii sanii..thats why kuna mambo hadi leo yanatusumbua mno.
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania.

Lakini Zanzibar inabakia kuwa nchi yenye katiba yake na Tanganyika inapotea kabisa 😀 😀 Sasa uhuru wa Tanganyika wa mwaka 1961 upo wapi?
 
Back
Top Bottom