inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tuliogopa Sana ushawishi wa mwarabu Zanzibar...tukatoa sadaka yetu mengi,Leo ndoano ipo kooni,maana wazanzibar wapo deep kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,ulinzi wetu upo pia kwenye bahari ya Zanzibar..so ngumu kuvunja muungano inabidi tuendelee kuishi na hiyo ndoanoHaka ka muungano ketu ukikasoma vizuri mno utaona kalikuwa na harufu ya ka-usanii sanii..thats why kuna mambo hadi leo yanatusumbua mno.
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania.
Lakini Zanzibar inabakia kuwa nchi yenye katiba yake na Tanganyika inapotea kabisa 😀 😀 Sasa uhuru wa Tanganyika wa mwaka 1961 upo wapi?