jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Kwa hao fdrl aliyakanyaga, aliingilia ugomvi usiomhusu bila maslah yoyoteKile kifo chake ndiyo kimethibitisha bila shaka alikua ulimwengu huo,yaani ajali ya gari akatoka kwenye Siti yake,fumua kioo Cha mbele,anguka mbali huko lakini USO Hauna mchubuko Wala tone la damu!!!?..mtikila aliwakaribisha viongozi wa fdlr nyumbani kwake,raia wa kawaida anaweza fanya Hilo,kwa misingi ipi!?