johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtikila was so brave. Aligundua maadui wa taifa ni CCM, Muungano na magabachori weziTanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
Katika hilo la kuililia Tanganyika mimi nilikuwa chawa wake.Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
🤣Katika hilo la kuililia Tanganyika mimi nilikuwa chawa wake.
Hatuwezi kuwa na serikali mbili tu ya Tanzania na Zanzibar bila kuwa na nyingine ya tatu ya Tanganyika.
Matokeo yake mzanzibar anakuja Tanganyika kutawala lakini Mtanganyika hawezi kwenda Zanzibar kutawala unless awe Mtanganyika wa ujanja ujanja kama mzee Mwinyi na kijana wake.
Aibu kubwa hii, hadi mkuu wa wilaya tunaletewa kutoka Zanzibar, kweli wazanzibari wametudharau sanaKatika hilo la kuililia Tanganyika mimi nilikuwa chawa wake.
Hatuwezi kuwa na serikali mbili tu ya Tanzania na Zanzibar bila kuwa na nyingine ya tatu ya Tanganyika.
Matokeo yake mzanzibar anakuja Tanganyika kutawala lakini Mtanganyika hawezi kwenda Zanzibar kutawala unless awe Mtanganyika wa ujanja ujanja kama mzee Mwinyi na kijana wake.
Noma mkuu 😂😂
Tanganyika tulitawaliwa na Mjerumani, akaja Mwingereza na leo hii yupo Mzanzibar.Aibu kubwa hii, hadi mkuu wa wilaya tunaletewa kutoka Zanzibar, kweli wazanzibari wametudharau sana
Mtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up kubwa nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.Mtikila was so brave. Aligundua maadui wa taifa ni CCM, Muungano na magabachori wezi
Yaani aibu sana Mkuu,Aibu kubwa hii, hadi mkuu wa wilaya tunaletewa kutoka Zanzibar, kweli wazanzibari wametudharau sana
alalae na kahaba , huwa ni mwili mmojaTanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
Hata sasa kinachoulinda muungano isivunjike ni yale matambiko yaliyofanyika kuchanganya udongo wa z'bar na tanganyika, vinginevyo muungano hauna tija!Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
Tanzania ni muungano kati ya Tanganyika na Zimbabwe(sic) Zanzibar, bila Tanganyika hakuna Tanzania, hivyo ipo na itakuwepo daima.Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
Kaja mmoja hapo anaitwa Mr DudumiziCcm wakija kuchangia nishtueni
Naomba kuuliza kile kivuko matengenezo bilioni 7.5 na bei kivuko kipya bilioni 8.Mtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.
Usimtazame mkuu wa wilaya Kama mzanzibar Bali mtanzania mwenye wadhifa wa ukuu wa wilaya ya TanzaniaAibu kubwa hii, hadi mkuu wa wilaya tunaletewa kutoka Zanzibar, kweli wazanzibari wametudharau sana