inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tuliogopa Sana ushawishi wa mwarabu Zanzibar...tukatoa sadaka yetu mengi,Leo ndoano ipo kooni,maana wazanzibar wapo deep kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,ulinzi wetu upo pia kwenye bahari ya Zanzibar..so ngumu kuvunja muungano inabidi tuendelee kuishi na hiyo ndoanoHaka ka muungano ketu ukikasoma vizuri mno utaona kalikuwa na harufu ya ka-usanii sanii..thats why kuna mambo hadi leo yanatusumbua mno.
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania.
Lakini Zanzibar inabakia kuwa nchi yenye katiba yake na Tanganyika inapotea kabisa 😀 😀 Sasa uhuru wa Tanganyika wa mwaka 1961 upo wapi?
Wapi huko kivuko kipya kinauzwa 8b!?Naomba kuuliza kile kivuko matengenezo bilioni 7.5 na bei kivuko kipya bilioni 8.
Ulijibu
Zito kapewa pesa na wapemba ya kujenga ofisi "KAJENGA"Naomba kuuliza kile kivuko matengenezo bilioni 7.5 na bei kivuko kipya bilioni 8.
Ulijibu
Mtikila,mrema,Marando ni wamoja,wote vitengo,mtikila alikua busy Sana enzi akina Mandela wapo hapaMtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.
Tanganyika Kama land mass ipo,pia historically..lakini Tanganyika Kama sovereign county haipo,ilishakufa Kama Lazaro,mpaka atokee masihi wa kuifufuaTanzania ni muungano kati ya Tanganyika na Zimbabwe(sic) Zanzibar, bila Tanganyika hakuna Tanzania, hivyo ipo na itakuwepo daima.
Mbowe Siyo?Mtikila,mrema,Marando ni wamoja,wote vitengo,mtikila alikua busy Sana enzi akina Mandela wapo hapa
Ukweli Mchungu!Tanganyika Kama land mass ipo,pia historically..lakini Tanganyika Kama sovereign county haipo,ilishakufa Kama Lazaro,mpaka atokee masihi wa kuifufua
Big No mkuu. I mean umekosea hapo kwa Mtikila muweke Mbowe.Mtikila,mrema,Marando ni wamoja,wote vitengo,mtikila alikua busy Sana enzi akina Mandela wapo hapa
Duh!fukunyu bin fukunyu mimi napita tuKatika hilo la kuililia Tanganyika mimi nilikuwa chawa wake.
Hatuwezi kuwa na serikali mbili tu ya Tanzania na Zanzibar bila kuwa na nyingine ya tatu ya Tanganyika.
Matokeo yake mzanzibar anakuja Tanganyika kutawala lakini Mtanganyika hawezi kwenda Zanzibar kutawala unless awe Mtanganyika wa ujanja ujanja kama mzee Mwinyi na kijana wake.
Nimemjibu kwenye comment namb #28Mbowe Siyo?
Kama nakuelewa vile upo sawa kabisaKatika hilo la kuililia Tanganyika mimi nilikuwa chawa wake.
Hatuwezi kuwa na serikali mbili tu ya Tanzania na Zanzibar bila kuwa na nyingine ya tatu ya Tanganyika.
Matokeo yake mzanzibar anakuja Tanganyika kutawala lakini Mtanganyika hawezi kwenda Zanzibar kutawala unless awe Mtanganyika wa ujanja ujanja kama mzee Mwinyi na kijana wake.
Mtikila angekuwa wa kitengo asingekufa kishamba vile. Fuatilia aina ya kifo chake na yale aliyokuwa anayaongea wakati wa kukaribia kufa.Mbowe Siyo?
Wakati hata idadi ya watu inashindwa na Dar ![emoji43][emoji43][emoji43]Aibu kubwa hii, hadi mkuu wa wilaya tunaletewa kutoka Zanzibar, kweli wazanzibari wametudharau sana
Acha tuongee ukweli mkuu, hatuwezi kuruhusu wazanzibar waendelee kutushikia akili kupitia muungano uchwara.Kama nakuelewa vile upo sawa kabisa
Mtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up kubwa nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.
Mtikila alikuwa mpinzani wa kweli na halisi. Ila tatizo alikosa back up kubwa nyuma yake, matokeo yake akaishia kuonekana chizi na machizi wenye back up kubwa nyuma yao wakaishia kuonekana wenye akili.
Na akili wametushikia haswaa, wengine sio wanasiasa lakini daa tunayaona mengi yanaumiza kweli.Acha tuongee ukweli mkuu, hatuwezi kuruhusu wazanzibar waendelee kutushikia akili kupitia muungano uchwara.
Hizi ni akili za mazuzumagic, sijawahi kuwa mnafiki. Kwanini Watanganyika huko Zanzibar hatupewi hata uongozi wa soko?Usimtazame mkuu wa wilaya Kama mzanzibar Bali mtanzania mwenye wadhifa wa ukuu wa wilaya ya Tanzania
Bado yupo huyu sabodoZito kapewa pesa na wapemba ya kujenga ofisi "KAJENGA"
Mbowe kapewa pesa na Sabodo ya kujenga ofisi "KATAFUNA"
Afu wanataka 2025 tuwachague wakaifilisi kabisa chi yetu. Yani hata kile kidogo tunachokipata kama nchi kikaishie matumboni mwao.
Hivi wafuasi wa upinzani sijui mmelogwa na mchawi gani. Mbona wizi na ufisadi unaofanyika huko upinzani ni wa kishamba na kijinga afu mnashindwa kuuelewa?