Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

Haipo kwenye miongozo ya chama,kuwa na mtoto/kutokuwa na mtoto ni family issue. Mazuri na mapungufu ya Halima kwenye siasa yasihusishwe na hy agenda.
Ni kweli ila nauliza hivii ana Mtoto?
 
Sema mwendazake bwana....Yani yeye ni kila kitu alikuwa anatumia maguvu!!
 
Ingekuwa mahakama za sasa zinafuata misingi ya sheria akina Mdee wangeogopa, lakini kwa mahakama hizi zinazoagizwa cha kufanya na serikali usitegemee lolote la maana.
Yametimia kama ulivyodhani.
 

Tafuta ela,

Acha kushindana na watoto wa kike,

Chadema wenyewe na hoja zao mzito wamepigwa za uso
 
Sasa wamekwenda unasemaje?
 
Haki sawa,jamhuri ya ndizi kuvunja Katiba ni Jambo la kawaida sana.
 

Hayo ni mawazo yako tumeyapokea lakini walishakwenda mahakamani na mtanange unaunguruma hadi sasa! Unasemaje hapo! Hebu jaribu kujipinga hoja zako mwenyewe huku ukitabasamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…