Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

Haipo kwenye miongozo ya chama,kuwa na mtoto/kutokuwa na mtoto ni family issue. Mazuri na mapungufu ya Halima kwenye siasa yasihusishwe na hy agenda.
Ni kweli ila nauliza hivii ana Mtoto?
 
Wakidhubutu tu kwenda mahakamani....
Tunayo majembe yetu yalobobea na mambo ya kughushi yakawavue nguo pamoja na alokuwa yuko nyuma chezo zima nayo ni,;
1) Tundu A. Lissu
2) Peter Kibatalla
3) ......
4) ......

Mpaka watarudisha na kodi zetu walizotuibia kwa kulipwa
[emoji23][emoji1787][emoji1787]...nahisi hawa covid 19 ndo waliosababisha mafuta kupanda we ngoja wadhubutu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema mwendazake bwana....Yani yeye ni kila kitu alikuwa anatumia maguvu!!
 
Ingekuwa mahakama za sasa zinafuata misingi ya sheria akina Mdee wangeogopa, lakini kwa mahakama hizi zinazoagizwa cha kufanya na serikali usitegemee lolote la maana.
Yametimia kama ulivyodhani.
 
Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani Kwa sababu zifuatazo;

1. Watakuwa na maswali mengi ya kumjibu Kuhusu walivyoupata huo Ubunge wao, Nani alisaini nyaraka zao, Nani alijaza fomu Kwa Niaba ya Katibu Mkuu wa Chadema na ili kujitetea watalazimika kuwasilisha nyaraka hizo.

2. NEC Itaingizwa kwenye kashfa ya Karne, kwani wataitwa Mahakamani kama mashahidi juu ya Nani aliwapa barua za uteuzi na fomu namba 12C ambazo zinatakiwa kusainiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha siasa.

3. Nusrat Hanje, alitolewa Gerezani usiku na kwenda kuapishwa kuwa Mbunge, atatakiwa kujibu alitolewa Kwa utaratibu upi na aliwezaje kujaza fomu za kugombea Ubunge akiwa Gerezani? Ataliingiza Jeshi la Magereza katika kashifa kubwa ya jinsi wasivyofuata sheria za Magereza.

4. Nyaraka za kugushi, watakuwa na mzigo wa kujieleza kuhusu nyaraka walizogushi Kwa kushirikiana na NEC ili wateuliwe kuwa wabunge, Jambo hili litaivua nguo tume na Serikali nzima.

5. Hawa Mwaifunga,Kunti Yusuph na Grace Tendega watakuwa na kazi ya kuieleza Mahakama ushiriki wa Katibu wa wabunge wa CCM Rweikiza katika kuandaa orodha ya majina ya wabunge hao! Kazi hii itaivua nguo CCM na jinsi walivyoweza kushiriki kwenye kashfa hii!

6 . Spika Job Ndugai , atatakiwa kuitwa na kuwa Shahidi kueleza alikopata orodha ya wabunge hao,na baada ya Chadema kuwafukuza ni Kwa nini aliendelea kuwakumbatia Kinyume na Katiba ya JMT ibara ya 71(1)(e), ambayo imetamka wazi kuwa Mbunge atapoteza sifa za kuwa Mbunge kama atafukuzwa uanachama na Chama chake cha siasa! Hapo patakuwa patamu Sana ! Ndugai ndio itakuwa fursa kwake kulipiza kisasi Kwa Dola?

Hizi ni baadhi ya sababu ambazo zinawafanya wajiulize kama wakifika Mahakamani watapona au ndio itakuwa kilio na kusaga Meno!

Tafuta ela,

Acha kushindana na watoto wa kike,

Chadema wenyewe na hoja zao mzito wamepigwa za uso
 
Sasa wamekwenda unasemaje?
 
Haki sawa,jamhuri ya ndizi kuvunja Katiba ni Jambo la kawaida sana.
 
Hayo ni mawazo yako tumeyapokea lakini walishakwenda mahakamani na mtanange unaunguruma hadi sasa! Unasemaje hapo! Hebu jaribu kujipinga hoja zako mwenyewe huku ukitabasamu!
 
Back
Top Bottom