Kwanini mechi za CHAN zimekosa hamasa na mahudhurio mazuri viwanjani Tanzania?

Kwanini mechi za CHAN zimekosa hamasa na mahudhurio mazuri viwanjani Tanzania?

Mbona mechi za Simba na Yanga huwa wanaenda kuangalia muda wowote??
hili suala ndio linaulizwa sana na hata mie sijui ni kwanini kwenye yanga na simba wanajaa lakini timu ya taifa,hola
 
Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya!

Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso) zilikuwa zimelala doro sana hakuna watazamaji kabisa pamoja pamoja na ufuasi mkubwa na hamasa aliyonao Ibrah Traore hapa bongo!
Baadhi wanaogopa kuitwa mashabiki wa mama
 
Zikicheza Simba na Yanga siku kesi ya Lissu inasikilizwa mahakamani uwanja utajaa.
Watanzania sasa wameanza kuamka. Wamegundua wao wanapiga gumzo la ushabiki wa mpira wakati wenzao wanaonufaika na keki na kufaidi rasilimali za taifa pamoja na vizazi vyao.
 
Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya!

Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso) zilikuwa zimelala doro sana hakuna watazamaji kabisa pamoja pamoja na ufuasi mkubwa na hamasa aliyonao Ibrah Traore hapa bongo!
Mambo ya kisiasa yamechangia pakubwa.
 
Siasa chafu zinapelekea watu kupoteza hamasa na michezo .

Hebu jenga picture Mzazi wako nimgonjwa na unajua kabisa nimgonjwa halafu bila huruma jirani yako anamtesa kisa tu anagombea shamba lake la migomba then mtoto wake ana andaa sherehe na kuwaalika ,hebu tuwe wa kweli wewe kama mtoto mwenye akili timamu utathubutu kwenda ?

Hicho ndicho kinachopelekea watu wasione tena kama michezo nikitu yenye maana wakati kind ngozi wao wanaemtumaini ameshikiliwa na jitihada za kumnyonga likiendelea kusukwa .

Watu wanauwawa kama kuku.

Kila anaesimama nao anakutana na cha mtema kuni.

Maiti zinaokotwa hovyohovyo.

Utekaji ni jambo la kawaida .

Sema moyoni ,hiyo michezo itakuwa na maana gani kwao?
 
Chadema mna jibu sahihi khs hii mada, em tupe muhtasari bwana afisa masoko wa chadema
Watanzania wenye akili timamu wamejiweka mbali na mpira wa miguu baada ya kuelewa kuwa unatumika kisiasa na ccm ili kuwapumbaza wananchi na viongozi kuendelea kupora mali za nchi bila aibu, sasa wananchi wameshtuka.
 
Ngoja siku wacheze Simba na Yanga
 
Watanzania wenye akili timamu wamejiweka mbali na mpira wa miguu baada ya kuelewa kuwa unatumika kisiasa na ccm ili kuwapumbaza wananchi na viongozi kuendelea kupora mali za nchi bila aibu, sasa wananchi wameshtuka.
Wananchi gn hao walioshtuka?
Ujinga wa simba na Yanga hauwezi kuisha kwenye hii nchi, Ww subir ifike mechi zao uone nyumbu watakavyojazana uwanjani ndo utanielewa.
Na ndo maana ccm wapo huko mana hizo timu zimebeba wajinga wengi ambao ndio wapiga kura.
 
Back
Top Bottom