900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
UsisiemuTanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya!
Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso) zilikuwa zimelala doro sana hakuna watazamaji kabisa pamoja pamoja na ufuasi mkubwa na hamasa aliyonao Ibrah Traore hapa bongo!
Usiamini sana vichekoPitch si juzi tu hapo Msigwa na Kabudi walionekana wakiipigia promo kwamba wameleta Waturuki sasa mambo ni safi?!
Tatizo ni muda wa mechiTanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya!
Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso) zilikuwa zimelala doro sana hakuna watazamaji kabisa pamoja pamoja na ufuasi mkubwa na hamasa aliyonao Ibrah Traore hapa bongo!
Unadhani wangeshuka kina Mo Salah na Victor Osimhen mambo yangekuwaje ? Ni vitu vingi vinachangia watu kutokujaa uwanjani pili huwezi kulinganisha Derby ambayo inakamiwa mwaka mzima (watani wa jadi) na haya mashindano yasiyo na ushindani....Simba na Yanga hata wakicheza saa saba usiku watu watajaa tu kiwanjani.
Timu ya taifa ni tofauti na Simba na YangaSimba na Yanga hata wakicheza saa saba usiku watu watajaa tu kiwanjani.
nilimwambia chawa mwenzio hapa juu ya michuano kutokujaza watu viwanjani AKANITUKANA SANA, hakujua kwamba ni mjinga ndo mana akaamua kuwa CHAWA. Sababu za viwanja kutojaa zilikuwa hiviHii mada ndio inazingumzwa azam tv muda huu kupitia sports am,wanasema kuwa:
1.foleni zinakera
2.muda wa usiku ni shida kwa watu wengi
3.ukosefu wa huduma za chakula na vinywaji pembezoni mwa uwanja.
Ni baadhi ya sababu sasa kama kuna mwingine ana hoja aziweke hapa
nilimwambia chawa mwenzio hapa juu ya michuano kutokujaza watu viwanjani AKANITUKANA SANA, hakujua kwamba ni mjinga ndo mana akaamua kuwa CHAWA. Sababu za viwanja kutojaa zilikuwa hivi
1. No reforms no election. timu ya taifa huchukuliwa kama ni timu ya serikali. kitendo cha serikali kugombana na wananchi wake kwa kesi ya lisu kilisababisha watu pia kususia kwenda uwanjani (hili lipo wazi ila wapuuzi watabisha)
2. ishu ya KARIA na uchaguzi wa TFF Uliojaa mizengwe, bwana karia aliwaletea wapenzi wa soka ghiriba kwenye uchaguzi watanzania siyo watu wa fujo ila kwa hapa tulipofikia upashanaji wa habari umerahishwa sana na ni rahisi watu kupashana habari juu ya mambo kama haya ya karia
wakamsusia michuano yake ingekuwa amri yangu ningewambia ile chan ya 2027 wapewe hata ,alawi