Kwanini Membe alazimishwe kumsamehe Musiba wakati maaskofu hao walikaa kimya Musiba alipomtukana Membe?

Na kuja kupewa dhamana mtu wa kule tena itakuwa majaliwa!

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu!
 
If they can't give us new. Constitution what the next

Itakuwa ni kuuana kwa kwenda Mbele

Watoto wa mjini hawshindwi kitu
Mmmh. .... Bora ungeandika Kiswahili tu. Kwa nini mnalazimisha lugha ambayo hamuifahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…