Kwanini Messi anachukiwa sana, aliwakosea nini wanadamu? Je, chanzo ni kipaji chake au kuna jingine?

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Niliifahamu sura ya Messi kuwa ni mtu anapenda kuheshimiana, baada ya yule mchezaji mwenzake wa kumuita nani sijui, alikua na urafiki na mchezaji mwenzie wa hapo timu ya taifa ya Argentina.

Huyo mshikaji akatumia urafiki wao na kumchukua mke wa rafiki yake na hatimaye kumuoa, kile kitendo kilimkera Messi hata kukata kusalimiana na huyo mwamba, hii ilionesha Messi ni mtu poa sana na ana kemea nidhamu mbovu nje ya uwanja Kwa wachezaji wenzake.

Tatizo kubwa la messi nikujiweka karibu na waisrael? sijui ila nahisi tu hivyo


​
 
Sio kweli. Kuwa karibu na wa-Israel ni kosa?. Niambie alie karibu na Hamas au Hezbollah au Iran anaependwa?

Tatizo nililoliona kwa Mess ni moja tu. Kujidai. Mfano Mess hataki kupeana hata mkono hata na watoto wale wanaongoza kuingia uwanjani.

Hata mafansi wake tu wale wanaofanikiwa kumkimbilia kuingia uwanjani iwe either kupiga nae selfie tu au wamkumbatie tu. Mess anawakwepq. Lakini mpinzani wake CR7 anawakingia kifua hata maaskari wanaowakimbiza. Utasikia muache atamkumbatia atapiga nae selfie,fresh. Hivyo.

Bahati mbaya dunia ya sasa iko wazi tu. Ukimdiss huyu mtoto au mtu mmoja tu kama Mess anavyofanya popote. Kuna mamilioni wanakutazama na either wakuheshimu kulingana na kitendo ***** kama anavyofanya CR7 au wakudiss na wewe kama anavyofanya Mess. Mambo yako hivyo.

Wanaimpenda Mess wameamua kuziba masikio na macho kwa matendo yake kwa wengine. Wamefocus na mpira wake . Lakini kwa ana dharau kwa hiyo lazima adharauliwe pia
 
Pumba tupu
 
Huna Akili !?
 

Wewe ni muongo
 
Mashabiki wengi wanaomchukia Messi ni wale Man Utd,Real Madrid na wapenzi wa Ronaldo.
Na hii ndio chuki yenyewe sasa, unapata faraja gani kutunga uongo. Hizo dharau unazosema Messi anazifanyia wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…