hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
šMzee Mess hafungi tu anadhalilisha, embu chukulia mfani ile chenga aliyemkata Jerome Boaten ile ni fedhaha kwenye mpira au ile aliyempiga Harry Kane hana akalamba mchanga.
šMzee Mess hafungi tu anadhalilisha, embu chukulia mfani ile chenga aliyemkata Jerome Boaten ile ni fedhaha kwenye mpira au ile aliyempiga Harry Kane hana akalamba mchanga.
Kwa takribani miongo miwili sasa Dunia ya soka imekua ni mpambano wa watu wawili tu Ronaldo Vs Messiā¦ā¦. Wengine wanaibuka miaka miliwili au mitatu wanapoteaNiliifahamu sura ya Messi kuwa ni mtu anapenda kuheshimiana, baada ya yule mchezaji mwenzake wa kumuita nani sijui, alikua na urafiki na mchezaji mwenzie wa hapo timu ya taifa ya Argentina.
Huyo mshikaji akatumia urafiki wao na kumchukua mke wa rafiki yake na hatimaye kumuoa, kile kitendo kilimkera Messi hata kukata kusalimiana na huyo mwamba, hii ilionesha Messi ni mtu poa sana na ana kemea nidhamu mbovu nje ya uwanja Kwa wachezaji wenzake.
Tatizo kubwa la messi nikujiweka karibu na waisrael? sijui ila nahisi tu hivyo
Sana, wangetubeba ujinga. Messi ni playmaker, Messi ni scorer. Full packageMimi mbona simchukii.Messi asingezaliwa tungedanganywa sana Ronaldo anajua bolu.
Hii nakataaSio kweli. Kuwa karibu na wa-Israel ni kosa?. Niambie alie karibu na Hamas au Hezbollah au Iran anaependwa?
Tatizo nililoliona kwa Mess ni moja tu. Kujidai. Mfano Mess hataki kupeana hata mkono hata na watoto wale wanaongoza kuingia uwanjani.
Hata mafansi wake tu wale wanaofanikiwa kumkimbilia kuingia uwanjani iwe either kupiga nae selfie tu au wamkumbatie tu. Mess anawakwepq. Lakini mpinzani wake CR7 anawakingia kifua hata maaskari wanaowakimbiza. Utasikia muache atamkumbatia atapiga nae selfie,fresh. Hivyo.
Bahati mbaya dunia ya sasa iko wazi tu. Ukimdiss huyu mtoto au mtu mmoja tu kama Mess anavyofanya popote. Kuna mamilioni wanakutazama na either wakuheshimu kulingana na kitendo ***** kama anavyofanya CR7 au wakudiss na wewe kama anavyofanya Mess. Mambo yako hivyo.
Wanaimpenda Mess wameamua kuziba masikio na macho kwa matendo yake kwa wengine. Wamefocus na mpira wake . Lakini kwa ana dharau kwa hiyo lazima adharauliwe pia
Hapa umeweka hasira zako tu..hata Ronaldo hamfikii Mess kwa Fair play nje ya uwanja...hapo sababu ni moja tu jamaa kaielezea hapo juu..kutendo cha kuzifunga team nyingi pamoja na zile alizokuwa anachezea Ronaldo ndo sababu ya kuchukiwa kwekeSio kweli. Kuwa karibu na wa-Israel ni kosa?. Niambie alie karibu na Hamas au Hezbollah au Iran anaependwa?
Tatizo nililoliona kwa Mess ni moja tu. Kujidai. Mfano Mess hataki kupeana hata mkono hata na watoto wale wanaongoza kuingia uwanjani.
Hata mafansi wake tu wale wanaofanikiwa kumkimbilia kuingia uwanjani iwe either kupiga nae selfie tu au wamkumbatie tu. Mess anawakwepq. Lakini mpinzani wake CR7 anawakingia kifua hata maaskari wanaowakimbiza. Utasikia muache atamkumbatia atapiga nae selfie,fresh. Hivyo.
Bahati mbaya dunia ya sasa iko wazi tu. Ukimdiss huyu mtoto au mtu mmoja tu kama Mess anavyofanya popote. Kuna mamilioni wanakutazama na either wakuheshimu kulingana na kitendo ***** kama anavyofanya CR7 au wakudiss na wewe kama anavyofanya Mess. Mambo yako hivyo.
Wanaimpenda Mess wameamua kuziba masikio na macho kwa matendo yake kwa wengine. Wamefocus na mpira wake . Lakini kwa ana dharau kwa hiyo lazima adharauliwe pia
HaswaKwa takribani miongo miwili sasa Dunia ya soka imekua ni mpambano wa watu wawili tu Ronaldo Vs Messiā¦ā¦. Wengine wanaibuka miaka miliwili au mitatu wanapotea
Kwa muktadha huo wapenda soka wamegawanyika mara mbili bila wao kujijua, kuna mashabiki wa Messi B Ronaldo
Hizi makasiriko yote haya kwa Messi ni kwasababu amefanya makubwa na kiwaziba midomo team Ronaldo
Kwahiyo kama unampenda Ronaldo automatically utamchukia Messi
Mbona vitu vya kawaida tu hivyoMzee Mess hafungi tu anadhalilisha, embu chukulia mfani ile chenga aliyemkata Jerome Boaten ile ni fedhaha kwenye mpira au ile aliyempiga Harry Kane hana akalamba mchanga.
Sio kweli. Gaucho alizigaraza timu zetu pendwa zote lakini hauwezi kumwona shabiki wa soka anamchukia au hamkubali Gaucho. Gaucho alishawahi kupigiwa makofi mpaka na mashabiki wa real madrid pale pale santiago bernabeu. Mimi nafikiri messi hana tu aura ya kupendwaSababu ya kuchukiwa kwake ni kwakuwa anazifunga team nyingi ambazo Zina mashabiki wengi wa league ya england na mashabiki wa real Madrid and cr7 fans nothing else
Sasa ronaldo kupendwa zaidi ndio maana yake messi anachukiwa?Kaka ingia insta Fanya utafiti kuanzia wachambuzi Hadi na celebrity, mpaka commenters utagundua mashabiki, walikua ni wa Ronaldo 80, hallandd 10, mbappe3, Messi 7 asilimia
Kumpenda ronaldo haimaanishi automatically unamchukia Messi. Nyota ya kupendwa ni aura tu ya mtu. Huyo Ronaldo ndio kiumbe ambae anaongoza kuwa na followers wengi kwenye mitandao yote ya kijamii ambayo yupo active. Ronaldo kuwa na ushawishi zaidi messi ni aura tu, sio chuki.Kwa takribani miongo miwili sasa Dunia ya soka imekua ni mpambano wa watu wawili tu Ronaldo Vs Messiā¦ā¦. Wengine wanaibuka miaka miliwili au mitatu wanapotea
Kwa muktadha huo wapenda soka wamegawanyika mara mbili bila wao kujijua, kuna mashabiki wa Messi B Ronaldo
Hizi makasiriko yote haya kwa Messi ni kwasababu amefanya makubwa na kiwaziba midomo team Ronaldo
Kwahiyo kama unampenda Ronaldo automatically utamchukia Messi
Myahudi damuni bali mkristo mkatoliki. Ni kama mark zugerback, Albert eilstin, sergeant brim, zelensky ni wayahudi lakini hawafati Judaism. Rais wa Misri el sis, ukoo wa kifalme Saudia ni wayahudi lakini waislamuHivi messi ni myuda (judaism)?
Siyo wote mkuu kuna native argentina ambao walimigrate kutoka Bolivia kwenda kusini ndio kina Diego Maradona, Sergio Aguro na Tevez wale ndio asili ya native Argentinian.Sema tu mu argentina maana wa Argentina wote ni discendants wa Italian na spain
Sio kweli mkuuā¦ā¦..Kumpenda ronaldo haimaanishi automatically unamchukia Messi. Nyota ya kupendwa ni aura tu ya mtu. Huyo Ronaldo ndio kiumbe ambae anaongoza kuwa na followers wengi kwenye mitandao yote ya kijamii ambayo yupo active. Ronaldo kuwa na ushawishi zaidi messi ni aura tu, sio chuki.
Unatumia kigezo gani kua āAna nyota tu ya kupendwa?āRonaldo ana nyota tu ya kupendwa, na kwa sababu kwa miongo miwili hawa jamaa wamekua wakishindanishwa ndipo hapo watu wana tafsiri kwamba messi anachukiwa. Lakini messi achukiwi na wapo wengi tu wanaompenda. Sema kwenye suala la kupendwa au ushawishi, messi hajafikia aura ya ronaldo.
Kama tunavyowahukumu kwenye ball na kusema messi anajua mpira. Haimaanishi kwamba ronaldo hajui mpira. Ronaldo mpira anajua lakini hajafikia kipaji cha messi