Kwenye mafanikio bahati pia ina mchango wake. Mo Dewji asingezaliwa familia tajiri leo hii asingekua mtu tajiri zaidi Tanzania. Utajiri alioukuta kwenye familia yake ulimrahisishia njia kwahiyo hauwezi kumlinganisha na ambae alianza from nothing.
Aura ipo, bahati ipo na branding ipo. hivyo ni vitu vitatu ambavyo sio lazima vitengane. Vinaweza kwenda sambamba vyote au viwili kati ya hivyo. Aura ya kupendwa ndio ilifanya cristiano ronaldo awe na brand kubwa. Messi pia anapendwa na watu wengi, anafanyiwa branding na management yake lakini ronaldo kwenye huo upande kamzidi kwa sababu ya aura aliyonayo
Hivi Huwa mnazingatia kigezo kipi kusema kwamba Ronaldo ana aura kumzidi Messi !?
Au ndio hao followers wa insta !?
Umeshawahi kuona the way mastar wa USA wanavyo mbabaikia Messi !? Yaani wao wenyewe wanashangaa kukutana na mtu maarufu kuwazidi
Binafsi naangalia documentary na clip nyingi sana za Lionel Messi aisee ni disaster Kuna clip aliyowahi kwenda china Mzee wale sio watu Bali ni mafuriko ya binaadamu!!!!
Sio hivyo tu ukifuatilia hata baada ya cr7 kwenda saudia na Messi kwenda USA
Messi ameipaisha zaidi league ya USA na Kila kitu kimekuwa Cha thamani jersey za team zao zipo Kila Mahala ni nadra kukutana na mtu ambaye amevaa jezi za alnasri lakini hata Sasa hivi ukitoka tu hapo nje lazima utakutana na mtu ambaye amevaa jersey za inter Miami
Sio hivyo tu hata capacity ya mashabiki uwanjani siku ambayo Messi Huwa anacheza mpira USA watu Huwa wanajazana vibaya sana licha ya kwamba before Messi kwenda USA Hilo halikuwepo
But Hali ni tofauti Kwa cr7 Kuna nyakati kibao Huwa wanacheza huko saudia viwanja vikiwa na space kibao mashabiki wachache kabisa !!!
Labda iwe ni siku ya mechi ambazo ni za dabi au finali
Lakini kinyume na hapo mashabiki Huwa ni wachache sana
Hii inadhihirisha kwamba Messi ni most influential sports man
Ila nadhani huwaga mnaangalia followers wa insta then ndio mnakuja na kusema kwamba cr7 ni maarufu sana kuliko Messi Wich to me naona hicho ni kama kichekesho Tena sana 😁
Mfano mdogo kama kweli followers ndio kipimo pekee Cha umaarufu wa mtu basi sote inabidi tukubaliane kwamba Serena Gomez ni maarufu kuliko Jayz au Beyonce au Neymar Jr cuz Selena Gomez ana followers wengi kuliko hao celeb niliowataja hapo ,
Je tuna kubaliana katk Hilo !?