Kwanini Messi anachukiwa sana, aliwakosea nini wanadamu? Je, chanzo ni kipaji chake au kuna jingine?

Omba sana usije ukaingia trap ya kumchukia last born wa Sir God, yaani chuki yako ndo inafanya azidi kumwagiwa mablessings balaa.

Nawaonea huruma sana wanaomchukia Messi, sijui wana hali gani huko
 
Messi gani anayechukiwa? Anachukiwa na Nani na wapi?
Muweke kwa Mkapa sekunde tuu dar yote inaenda kumsalimia.
 
Messi gani anayechukiwa? Anachukiwa na Nani na wapi?
Muweke kwa Mkapa sekunde tuu dar yote inaenda kumsalimia.
Kaka ingia insta Fanya utafiti kuanzia wachambuzi Hadi na celebrity, mpaka commenters utagundua mashabiki, walikua ni wa Ronaldo 80, hallandd 10, mbappe3, Messi 7 asilimia
 
Mashabiki duniani wameanzisha kampeni walidai Argentina ichunguzwe Kwa upangaji matokeo, hawaja maliza Hilo wanadai fifa inaipendelea Argentina sa si chuki hixo
 
Wivu na husda kutoka kwa mashabiki wa yule mreno.

Na akichukua tena kombe la dunia ndio wataumwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…