Kwanini Messi anachukiwa sana, aliwakosea nini wanadamu? Je, chanzo ni kipaji chake au kuna jingine?

Sababu ya kuchukiwa kwake ni kwakuwa anazifunga team nyingi ambazo Zina mashabiki wengi wa league ya england na mashabiki wa real Madrid and cr7 fans nothing else
Kwani Ronaldo hajazifunga timu nyingi za ligi ya Hispania?
 
Sababu ya kuchukiwa kwake ni kwakuwa anazifunga team nyingi ambazo Zina mashabiki wengi wa league ya england na mashabiki wa real Madrid and cr7 fans nothing else
Hapa umemaliza mkuu hata mimi nilikuwa namchukia kwa kutufunga lile goli la kichwa kwenye fainali ya uefa 2011 hadi Sir Ferg akawa anatetemeka mkono ila baadae ni
kajiona nautesa moyo wangu bure ikabidi nimkubali. Leo naangalia kombe la dunia kwa raha tu ningekuwa bado namchukia nahisi ningekonda sana mwezi huu.
 
Umeandika kisirani tu hapa, Messi alimchukia lini na wapi kijana anaeingia uwanjani kumshangilia?!
 
Wapi nimesema haipo wazi
Hapana nimeshangaa swali la beira eti mbona anachezea Argentina nimeshangaa swali gani Hilo? Citizenship, by descent, registration, birth, sasa swali gani anauliza majibu si haya ? Hata kama wazazi ni mataifa tofauti na mtoto
 
😄 Enjoy the ball

Kumchukia Messi ni ufala

Wengi humchukia kwasababu anapeleka maumivu kwenye upande ambao wao wanategemea uwapatie furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…