Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ndio aura ninayoiongelea. Hao mashabiki wa ronaldo kuna wengine hata sio wapenzi wa soka. Ni aura tu ya ronaldo mdio inawafanya wampendeRonaldo ana mashabiki wengi zaidi ya Messi na ndio maana inaonekana kama anachukiwa na wengi sababu watakua wanaponda mafanikio yake
Ronaldo ana followers wengi kwenye kila mtandao ambao yupo active. Ana ushawishi mkubwa. Kuna press aliwahi kufanya akasogeza pembeni chupa za cocacola akaawaambia watu "drink water". Akimaanisha soda sio nzuri badala yake watu wanywe maji. Unaambiwa kile kitendo kilisababisha hisa za coca cola kushuka sokoni.Unatumia kigezo gani kua βAna nyota tu ya kupendwa?β
Ronaldo anajua zaidi kuji BRAND kuliko Messi
Hiyo ni kwa sababu hayo makampuni makubwa yapo ulaya na wateja wakubwa ni wakazi wa uko uko ulaya. Sisi waafrika ni watumiaji wa bidhaa feki kwahiyo hatuwezi kuwa target ya soko. Kwahiyo haya makampuni ni lazima yatumie ambassadors ambao ni raia wa uko uko ili kuvutia soko. Ni mbinu ya kawaida kabisa katika marketing strategy. Hata uko America wapo wachezaji wana aura tu ya kupendwa mfano gaucho, ronaldo de lima hauwezi kukuta shabiki wa soka ambae hawakubali hao jamaa wawiliWachezaji wengi wa Africa na America wao wanakomaa zaidi uwanjani lakini wachezaji wa Ulaya wanajua zaidi kuji brand na kwenda mbali zaidi nje ya soka uwanjani
Mkuu sio lazima hivyo viwili vitengane. Ukiwa na aura ukafanyiwa branding ndio unaenda viral zaidi. Ronaldo ana aura ya kuzaliwa nayo. Ndio maana ikafanikisha kuwa binadamu mwenye brand inayouzika zaidi duniani. Unajua kama ronaldo ndio mwanadamu anaetoza hela nyingi zaidi ukitaka kutangaza biashara yako kwenye page yake instagram?So hiyo sio AURA ni BRANDING
Mi nimo sikapendiHakuna anayemchukia messi
Anapendwa sana na wengi tuNiliifahamu sura ya Messi kuwa ni mtu anapenda kuheshimiana, baada ya yule mchezaji mwenzake wa kumuita nani sijui, alikua na urafiki na mchezaji mwenzie wa hapo timu ya taifa ya Argentina.
Huyo mshikaji akatumia urafiki wao na kumchukua mke wa rafiki yake na hatimaye kumuoa, kile kitendo kilimkera Messi hata kukata kusalimiana na huyo mwamba, hii ilionesha Messi ni mtu poa sana na ana kemea nidhamu mbovu nje ya uwanja Kwa wachezaji wenzake.
Tatizo kubwa la messi nikujiweka karibu na waisrael? sijui ila nahisi tu hivyo
"I dislike terms like 'luck' or 'aura' because they diminish the hard work people invest to achieve their successRonaldo ana followers wengi kwenye kila mtandao ambao yupo active. Ana ushawishi mkubwa. Kuna press aliwahi kufanya akasogeza pembeni chupa za cocacola akaawaambia watu "drink water". Akimaanisha soda sio nzuri badala yake watu wanywe maji. Unaambiwa kile kitendo kilisababisha hisa za coca cola kushuka sokoni.
Ukiwa na aura ya kupendwa inarahisisha kujifanyia branding. Embu nikuulize david beckham ndie mchezaji mwenye kipaji zaidi katika historia ya soka la uingereza? Jibu ni hapana. Ndie mchezaji anaependwa zaidi? Jibu ni ndio. Ilitokea tu jamaa kuwa na aura ya kupendwa ndio makampuni yakamwona na kumfanyia branding. Makampuni hayaibuki tu from nothing na kuwekeza kwako, yanaangalia kwanza aura yako.
Hiyo ni kwa sababu hayo makampuni makubwa yapo ulaya na wateja wakubwa ni wakazi wa uko uko ulaya. Sisi waafrika ni watumiaji wa bidhaa feki kwahiyo hatuwezi kuwa target ya soko. Kwahiyo haya makampuni ni lazima yatumie ambassadors ambao ni raia wa uko uko ili kuvutia soko. Ni mbinu ya kawaida kabisa katika marketing strategy. Hata uko America wapo wachezaji wana aura tu ya kupendwa mfano gaucho, ronaldo de lima hauwezi kukuta shabiki wa soka ambae hawakubali hao jamaa wawili
Mkuu sio lazima hivyo viwili vitengane. Ukiwa na aura ukafanyiwa branding ndio unaenda viral zaidi. Ronaldo ana aura ya kuzaliwa nayo. Ndio maana ikafanikisha kuwa binadamu mwenye brand inayouzika zaidi duniani. Unajua kama ronaldo ndio mwanadamu anaetoza hela nyingi zaidi ukitaka kutangaza biashara yako kwenye page yake instagram?
Kwenye mafanikio bahati pia ina mchango wake. Mo Dewji asingezaliwa familia tajiri leo hii asingekua mtu tajiri zaidi Tanzania. Utajiri alioukuta kwenye familia yake ulimrahisishia njia kwahiyo hauwezi kumlinganisha na ambae alianza from nothing."I dislike terms like 'luck' or 'aura' because they diminish the hard work people invest to achieve their success
Hivi mkuu unadhani kuji brand na kufanikiwa ni jambo jepesi?, au kwako wewe ni hadi uwe na AURA ndio utafanikiwa?
Ukiona watu wanampenda sana mtu kwenye nyanja yake huwa sio BAHATI
ππSababu ya kuchukiwa kwake ni kwakuwa anazifunga team nyingi ambazo Zina mashabiki wengi wa league ya england na mashabiki wa real Madrid and cr7 fans nothing else
Hivi Huwa mnazingatia kigezo kipi kusema kwamba Ronaldo ana aura kumzidi Messi !?Kwenye mafanikio bahati pia ina mchango wake. Mo Dewji asingezaliwa familia tajiri leo hii asingekua mtu tajiri zaidi Tanzania. Utajiri alioukuta kwenye familia yake ulimrahisishia njia kwahiyo hauwezi kumlinganisha na ambae alianza from nothing.
Aura ipo, bahati ipo na branding ipo. hivyo ni vitu vitatu ambavyo sio lazima vitengane. Vinaweza kwenda sambamba vyote au viwili kati ya hivyo. Aura ya kupendwa ndio ilifanya cristiano ronaldo awe na brand kubwa. Messi pia anapendwa na watu wengi, anafanyiwa branding na management yake lakini ronaldo kwenye huo upande kamzidi kwa sababu ya aura aliyonayo
Cristiano ronaldo hana makazi wala hachezi mpira marekani. Ulitaka hao mastaa wa marekani wamfuate saudi arabia. Huko marekani tangu kipindi demu mmoja hivi alivyotaka kumbambikia kesi ya ubakaji, ronaldo hakwenda tena. Ameenda juzi juzi tu baada ya kupata mualiko wa Trump, na katika ile hafla kumbuka mpaka mtu tajiri zaidi duniani aliomba selfieHivi Huwa mnazingatia kigezo kipi kusema kwamba Ronaldo ana aura kumzidi Messi !?
Au ndio hao followers wa insta !?
Umeshawahi kuona the way mastar wa USA wanavyo mbabaikia Messi !? Yaani wao wenyewe wanashangaa kukutana na mtu maarufu kuwazidi
Sasa kama unaangalia za messi pekee ake si lazima mtazamo wako uwe na biasBinafsi naangalia documentary na clip nyingi sana za Lionel Messi aisee ni disaster Kuna clip aliyowahi kwenda china Mzee wale sio watu Bali ni mafuriko ya binaadamu!!!!
Ligi ya marekani ilikua tayari inajulikana kabla ya ujio wa messi. Kuna mastaa kama beckham, ibrahimovic n.k tayari walikua washacheza uko. Vilevile inter miami inamilikiwa na david beckham ambae ni maarufu. Ni timu ambayo tulikua tunaijua kabla messi hajaenda uko. Lakini kuhusu ligi ya saudi arabia pamoja na timu ya al nassri wengi tulikua hatujui chochote kabla ya ujio wa ronaldo. Messi kaenda kuendeleza kitu ambacho kilikuwepo. Ronaldo kaanzisha kitu ambacho akikuwepo. Unaona tofauti hapo?Sio hivyo tu ukifuatilia hata baada ya cr7 kwenda saudia na Messi kwenda USA
Messi ameipaisha zaidi league ya USA na Kila kitu kimekuwa Cha thamani jersey za team zao zipo Kila Mahala ni nadra kukutana na mtu ambaye amevaa jezi za alnasri lakini hata Sasa hivi ukitoka tu hapo nje lazima utakutana na mtu ambaye amevaa jersey za inter Miami
Sio hivyo tu hata capacity ya mashabiki uwanjani siku ambayo Messi Huwa anacheza mpira USA watu Huwa wanajazana vibaya sana licha ya kwamba before Messi kwenda USA Hilo halikuwepo
But Hali ni tofauti Kwa cr7 Kuna nyakati kibao Huwa wanacheza huko saudia viwanja vikiwa na space kibao mashabiki wachache kabisa !!!
Labda iwe ni siku ya mechi ambazo ni za dabi au finali
Lakini kinyume na hapo mashabiki Huwa ni wachache sana
Hii inadhihirisha kwamba Messi ni most influential sports man
Mkuu hao followers sio insta tu. Jaaa anaongoza kwenye mitandao yote ambayo yupo active. Ukiondoa ishu ya followers Ronaldo ni idol wa wachezaji wengi wanaotamba kwa sasa mfano mbappe, halaand, vinicoius, kvaratshkelia n.k, style yake ya ushangiliaji ya siuu ndio maarufu zaidi, ndie mchezaji ambae anapendwa zaidi na watoto(hawa upendo wao ni wa kutoka moyoni bado hawajalishwa itikadi au ushabiki), anapendwa zaidi na wanawake(hawa hawajui sana kuhusu mpira wanachompendea ni aura yake tu), ndie mchezaji ambae brand yake inauza zaidi n.kIla nadhani huwaga mnaangalia followers wa insta then ndio mnakuja na kusema kwamba cr7 ni maarufu sana kuliko Messi Wich to me naona hicho ni kama kichekesho Tena sana π
Mfano mdogo kama kweli followers ndio kipimo pekee Cha umaarufu wa mtu basi sote inabidi tukubaliane kwamba Serena Gomez ni maarufu kuliko Jayz au Beyonce au Neymar Jr cuz Selena Gomez ana followers wengi kuliko hao celeb niliowataja hapo ,
Je tuna kubaliana katk Hilo !?