jabir salehe
New Member
- Jul 7, 2022
- 3
- 3
Mazoezi ni afya.
Why huwa mnajirikodi kwa kujipiga picha na kupost?
Why huwa mnajirikodi kwa kujipiga picha na kupost?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa hujaweka picha.Hao wanapenda kuuza sura mana mazoezi mi kwa afya binafc.Mazoezi ni afya.
Why huwa mnajirikodi kwa kujipiga picha na kupost?
Huenda wanaweka kumbukumbu, waje kuonesha Wajukuu na Vitukuu huko mbeleni.Mazoezi ni afya.
Why huwa mnajirikodi kwa kujipiga picha na kupost?
Ni kuhamasisha wengine kujua umuhimu wa mazoezi hakuna kingine
Tofauti ya mtu mwenye mtazamo hasi na mwenye mtazamo chanya. Unaweza kujua wameamkaje au wameanzaje siku.Kujionyesha na kututega hasa wanawake vile wanavaa vile vi tight vyao
hao sio Wafanya mazoezi bali ni malimbukeni wanaojitia kuwa wanafanya mazoezi. 20years down tunakimbizana na upepo na kunyanyua Hakunaga ujinga huo. narcissists hao wanaitwa na tabia zao ni narcissismMazoezi ni afya.
Why huwa mnajirikodi kwa kujipiga picha na kupost?
Ndugu yangu wakipiga zile tight na tu laba twao lazima upagaweKujionyesha na kututega hasa wanawake vile wanavaa vile vi tight vyao
hao sio Wafanya mazoezi bali ni malimbukeni wanaojitia kuwa wanafanya mazoezi. 20years down tunakimbizana na upepo na kunyanyua Hakunaga ujinga huo. narcissists hao wanaitwa na tabia zao ni narcissism
Duh! hapo nawatetea huwez kumuita mtu narcissistic kwa sababu kama hiyohao sio Wafanya mazoezi bali ni malimbukeni wanaojitia kuwa wanafanya mazoezi. 20years down tunakimbizana na upepo na kunyanyua Hakunaga ujinga huo. narcissists hao wanaitwa na tabia zao ni narcissism
ni ugonjwa bro sio wote lakini. social medias na status ,ingawa kuna wenye good course piaDuh! hapo nawatetea huwez kumuita mtu narcissistic kwa sababu kama hiyo
Mara nyingi tunahisi maisha yetu ni perfect hivyo tunategemea wengine nao waishi kama sisi.Labda Kwa sababu ni maisha yao