Kwanini mfanyapo mazoezi manajipiga picha na kujirekodi video?

Mazoezi ni afya.

Why huwa mnajirikodi kwa kujipiga picha na kupost?
hao sio Wafanya mazoezi bali ni malimbukeni wanaojitia kuwa wanafanya mazoezi. 20years down tunakimbizana na upepo na kunyanyua Hakunaga ujinga huo. narcissists hao wanaitwa na tabia zao ni narcissism
 
Duh! hapo nawatetea huwez kumuita mtu narcissistic kwa sababu kama hiyo
 
Kwanini wewe unapiga picha na kuweka WhatsApp, Facebook na kwingineko ?
 
Back
Top Bottom