The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Mi watu wa hivi nafukuza mke yaani mnanikoromea kaka na mama kisa binti yenu na huyo binti fala.Waafrika tunapenda sana kitonga. Kuna kijana mmoja fundi kujenga hapo Dar-Chamanzi kaoa Mnyamwezi, wamepanga vyumba viwili hali ngumu ila mama mkwe na kaka wawili wa dada/mke wapo hapo mwaka wa pili unaisha. Sijui wanalalaje.
Kijana alijaribu kumuuliza mke wake mama na kaka zake wanaondoka lini palikuwa hapatoshi. Walimchangia wote wanne kuwa ni mbinafsi na mchoyo.
Kijana ana hali ngumu, mi ninawaachia nyumba natokomea pasipo julikana.