Kwanini mgeni akiulizwa "unaondoka lini" inakuwa nongwa?

Mi watu wa hivi nafukuza mke yaani mnanikoromea kaka na mama kisa binti yenu na huyo binti fala.
Kijana ana hali ngumu, mi ninawaachia nyumba natokomea pasipo julikana.
 
Nyumbani kwako bila shaka umepazindika hutaki mtu afie kwako.
Nyumba zenu mkiuza utasikia hapakuwa pana kaliwa na mtu ndiyo maana maruweruwe
It's all about comforability ya watoto wangu. Nilichukia uigazi tangu utoto wangu.
Tulizaliwa 6 but ulikua ukija kwetu siku kuna watoto wachache ni 13 thus huduma nyingi tulikua hatupati ipaswavyo. Watu wazima ndo usisema.
 
It's all about comforability ya watoto wangu. Nilichukia uigazi tangu utoto wangu.
Tulizaliwa 6 but ulikua ukija kwetu siku kuna watoto wachache ni 13 thus huduma nyingi tulikua hatupati ipaswavyo. Watu wazima ndo usisema.
Sema nyumba ikiwa lundo la watu ni ghasia sana
 
Maisha magumu anataka kuhamia kwako.
 

Kweli kabisa mzehe,,,,hili liko wazi mbona, zaidi kwa waafrika wengi wana haka katabia acha kabisa,, tena huko dar mhhhhhhhhhhhh!!!!!!

2kienda kwa white people hususani waarabu ni watu wakarimu na wactaarabu mno cjapata kuona, kwanza awezi kukuuriza ilo swali la kinyambafu. Ukija kwenye menu/chakula utawekewa cha maana babaaa kilichoenda shule. Waarabu wako njema sana, tena wale waarabu pure nywele laini zinapepea acha kabisa babaaa. Wamejaariwa sana.
 
Wenzako huwa hatuwaulizi bali tunamfamyia vitimbi mpaka anaomba po mwenyewe.
 
Mgeni wa aina gani!?? Kutoka upande upi wa familia yako???
 
Kamatia hapohapo, mgenia kuhamia ugenini ni ufala[emoji28]
 
Maisha Sasa hivi yamekuwa magumu Sana ,mtu analisha familia yake kwa 5000-10,000 kwa siku halafu we mgeni ukikaa mezani unapasua hotpot nusu kidogo inaleta utata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Una uwezo wa kusaidia, saidia tu.. Unachozungumza kina ukweli fulani.
 
Kuna mtoto wa shemeji kaletwa atakaa hadi amalize field
 
Mimi nikienda kwa ndugu yangu wa tumbo moja aniulize hili swali hata sitishiki maana mara nyingi lengo huwa ni kunishawishi nikae zaidi ila kwa mtu nje ya hapo mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…