Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nilikuwa sijacheka.Wapima upepo huwa hamkosekani....
Ndio kama wale wazee wa "aongezewe muda" "mitano tena"
Poa cheki cheki upepo.
Nani,lini,wapi na kwa jinsi gani? Hebu jazia nyama hii skeleton yako.Kwanini wataka urais wengi wanamuogopa sana mh majaliwa?
Japo yeye yupo kimya busy na kazi ila kina hatua zake wanamfuatilia