Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wewe ulifauluje?English F
Kiswahili D
Duh; kwa results hizo kwa masomo hayo haitegemewi kuwe na somo lingine with better performance! Hayo ndio yalikuwa masomo ya kuponea!English F
Kiswahili D
Nape ni debe tupu kama walivyo nguruwe wengi ccm.Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM;
Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi kwa uhuru aidha akiwa ameteuliwa au akikosa uteuzi?
Lini tutakuwa na watu wanaoweza kusimama bila kutegemea kusimamishwa? Hixi kauli zake siyo ishara kwamba anapaswa kutumbuliwa?
Angekuwa mcheza mpira basi yule mchezaji wa kubutua kula pasi anayopewaWaziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM;
Civics FEnglish F
Kiswahili D
Shida za watanzania ndiyo hutngeneza furaha yakeWameshazoea kunyonga vya kuchinja hawawezi
Kuwepo Kwa merit,hofu au kujiajiri mbona mambo mengi hayaeleweki?Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM;
Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi kwa uhuru aidha akiwa ameteuliwa au akikosa uteuzi?
Lini tutakuwa na watu wanaoweza kusimama bila kutegemea kusimamishwa? Hixi kauli zake siyo ishara kwamba anapaswa kutumbuliwa?
Hivi Watumishi wa serikali huwa Wana akili za kujiajiri,hao wamegeuza Ofisi za umma kuwa Mali yao wao na watoto zao na marafiki zao.Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM;
Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi kwa uhuru aidha akiwa ameteuliwa au akikosa uteuzi?
Lini tutakuwa na watu wanaoweza kusimama bila kutegemea kusimamishwa? Hixi kauli zake siyo ishara kwamba anapaswa kutumbuliwa?
Ukiwa na sifa na ukasoma katiba utagundua hakuna cheo cha kudumu; hakuna exit plan; hivyo muda mwingi utaishi wewe kama wewe na siyo kuwategemea wakubwaKuwepo Kwa merit,hofu au kujiajiri mbona mambo mengi hayaeleweki?
Kwani ukiwepo Kwa merit unakuwa na hati miliki? Hiyo merit unayo peke yako?
History AWewe ulifauluje?
Kumbe ulisoma masomo ya " Sindimba" 😂😂History A
Commerce B
B/Keeping B
Kiswahili C
Niendelee !.