Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM;
Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi kwa uhuru aidha akiwa ameteuliwa au akikosa uteuzi?
Lini tutakuwa na watu wanaoweza kusimama bila kutegemea kusimamishwa? Hixi kauli zake siyo ishara kwamba anapaswa kutumbuliwa?