Kwanini miaka chini ya 2000 matikiti maji yalikua adimu?

Teknolojia imeongezeka sana siku hizi maana watu wanalima mwaka mzima sio kwa kusubiri majira kama zamani pia soko limekuwa kubwa kwa wingi wa watu hivyo chakula kilichokuwa kinawatosha watu mwaka 2000 mwaka 2018 hakiwezi kuwatosha
 
Ni vyema tukaiita teknolojia HARAMU iliyoanzishwa ili kukidhi mahitaji ya soko, lakini matokeo yake ndiyo hayo tunayoyashuhudia kama kuongezeka kwa magonjwa kama kisukari na kansa nk,

GMO, ni zao la tennolojia za kisasa za chakula zilizo/zinazoleta madhara makubwa kwa afya za watumiaji hasa Katika nchi zetu zinazoendelea.
 
Ndio nikuulize wewe uliyeuliza tikiti maji ni tikiti la aina gani? We unajua matikiti aina ngapi?

Mimi najua kuna tunda linaloitwa TIKITI, ila sijui kama kuna tunda linaloitwa TIKITI MAJI.

Mfano kuna chakula kinaitwa KIAZI KITAMU na kingine KIAZI MVIRINGO. vyote hivyo vinaitwa VIAZI, lakini tofauti iliyopo ni kimoja ni kitamu na kingine si kitamu bali umbo lake ni la mviringo.

kwa mantiki hiyo unaposema kuna TIKITI 'MAJI", maana yake kuna aina zingine za matikiti yasiyokuwa na maji !!??😁😁, au mfano mtu aseme kuna TANGO MAJI je hapo utamuelewa vipi??,
 
Huku kwetu tunaita tikitimaji
 
Back
Top Bottom