Carrick ni holding middle na attacking middle ni kama vile ander herreira
mkuu umehama toka timu ya taifa mpaka klabu tena? Rejea uzi unasemajeCarrick ni holding midfielder aliekua anacheza as deep lying midfielder.
Carrick katoka tottenham as holding midfielder, kaenda Man utd 2006 coz ferguson alikua anatafuta replacement ya Keane, Carrick akawa ana pair na Scholes yeye anacheza as holding midfielder Scholes anacheza mbele yake,
Carrick kacheza finali zote mbili za Champions league as holding midfielder ina maan hujawahi kuli notice hilo mkuu?
mkuu umehama toka timu ya taifa mpaka klabu tena? Rejea uzi unasemaje
Uk hamna kitu pale wachezaji wahuni wahuniAcha uongo we jamaa...mi nipo UK na ni mshabiki na mfuatiliaji wa mpira lkn sikuwahi kusoma wala kusikia hizo habari zako za "Messi mtarajiwa"
Kweli kuwaanzisha attacking middle zote ilipelekea kufeli kisokaNa hiki ndio kiliwagharimu zaidi waingereza katika timu yao ya taifa.