Kwanini Michael Carrick hakupewa nafasi Timu ya Taifa ya England?

Kwanini Michael Carrick hakupewa nafasi Timu ya Taifa ya England?

Carrick ni holding middle na attacking middle ni kama vile ander herreira

Holding midfield or namba 6 ka tulivyozoea kuiita ina styles nyingi za kuicheza, kuna deep lying midfield, kuna wenye uwezo wanaocheza mpaka box to box while ni namba 6 na accuracy yao kwenye final third inakua kubwa na wanaleta madhara sana lwa wapinzani
Comparison yako na Herrera iko sawa though wote mara nyingi wanakua deployed as holding midfield, issue ni kwamba Carrick ametumika sana kwenye Holding midfield kuliko nafasi nyingine kwenye career yake
 
inatokeaga.... jiulize dybala , pale argentina anakaa benchi na ubora wote huo....

carrick ni mzuri , lakini mbele ya lampard na stieve ilikuwa ngumu kupenya
 
Carrick ni holding midfielder aliekua anacheza as deep lying midfielder.

Carrick katoka tottenham as holding midfielder, kaenda Man utd 2006 coz ferguson alikua anatafuta replacement ya Keane, Carrick akawa ana pair na Scholes yeye anacheza as holding midfielder Scholes anacheza mbele yake,
Carrick kacheza finali zote mbili za Champions league as holding midfielder ina maan hujawahi kuli notice hilo mkuu?
mkuu umehama toka timu ya taifa mpaka klabu tena? Rejea uzi unasemaje
 
mkuu umehama toka timu ya taifa mpaka klabu tena? Rejea uzi unasemaje

Hata team ya taifa mkuu waliokua wanambania carrick sio gerrard na lampard tu, mfano 2006 Owen Hargeaves ndo alikua anacheza as holding midfield,
i hope unakumbuka how excellent Hargreaves was on that tournament, Carrick angeweza kumuweka benchi Hargreaves wa 2006?
 
Acha uongo we jamaa...mi nipo UK na ni mshabiki na mfuatiliaji wa mpira lkn sikuwahi kusoma wala kusikia hizo habari zako za "Messi mtarajiwa"
Uk hamna kitu pale wachezaji wahuni wahuni
 
Ulitegemea carrick acheze mbele ya Gareth Barry wakat yupo katika form aston villa
 
Back
Top Bottom