Carrick ni holding middle na attacking middle ni kama vile ander herreira
Holding midfield or namba 6 ka tulivyozoea kuiita ina styles nyingi za kuicheza, kuna deep lying midfield, kuna wenye uwezo wanaocheza mpaka box to box while ni namba 6 na accuracy yao kwenye final third inakua kubwa na wanaleta madhara sana lwa wapinzani
Comparison yako na Herrera iko sawa though wote mara nyingi wanakua deployed as holding midfield, issue ni kwamba Carrick ametumika sana kwenye Holding midfield kuliko nafasi nyingine kwenye career yake