Hio mikoa na mikoa mingine mingi huwa ni kwa siriSimiyu.
Geita.
Mwanza.
Rukwa.
Mbeya.
Songwe.
ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen
Yanafanya shughuli gani hayo majini?Hio mikoa na mikoa mingine mingi huwa ni kwa siri
Ukienda miji kama Tanga ni wazi kabisa, watu wanachukulia poa kabisa, flani ana majini 30
Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k.
Tanga
Pwani
Tabora
Lindi
Pemba
imani za kishirikina kwa wasi waislam, hiyo mikoa ya pwani ni imani za kishikina pamoja na uislam, hawa wote ni wapaganiSimiyu.
Geita.
Mwanza.
Rukwa.
Mbeya.
Songwe.
ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen
Ushirikina wa kiafrika unastawi sana maeneo yenye wajinga wakubwa.Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k.
Tanga
Pwani
Tabora
Lindi
Pemba
mkuu naomba bas ujibu pm.Njoo njombe huku makete ujionee utajiri wa ndagu
Niazime mim nina shidaunayataka nikuazime
sema unapatikana wapi pia andaa chumba chao unataka moja au zaidiNiazime mim nina shida
Ngoja nije inbox tuongee zaidi mkuu.sema unapatikana wapi pia andaa chumba chao unataka moja au zaidi